Marco Makamba
Member
- Aug 7, 2014
- 59
- 11
Taharifa nilizopata kutoka chanzo kinachoaminika ni kuwa kesho joint admission board inakaa bagamoyo halafu kila kitu kitakuwa waz jumatatu..kwasababu kitu vyuo ambachovinafanya kurelease selection ni kinyume na sheria ndio maana umeona kwenye tangazo la tcu leo kuwa kuanzia j3 tarehe 29 ndio wanaruhusu maombi ya uhamisho wa vyuo na course mbalimbali kwahyo wanauhakika j3 ndio wanatoa majina ...chanzo hicho kimesositiza kuwa mtulie tcu ndoyenye haki kisheria kutoa selection hivo subirini final selection j3
Dah! Watanzania kwa porojo hatujambo. Yani mkuu unaijisikia raha gani kutunga hekaya zako za abunuwasi na kutulisha wanaJF wenzio? Ahya bhana.
me ndonawaambia sasa subir mtaona
Taharifa nilizopata kutoka chanzo kinachoaminika ni kuwa kesho joint admission board inakaa bagamoyo halafu kila kitu kitakuwa waz jumatatu..kwasababu kitu vyuo ambachovinafanya kurelease selection ni kinyume na sheria ndio maana umeona kwenye tangazo la tcu leo kuwa kuanzia j3 tarehe 29 ndio wanaruhusu maombi ya uhamisho wa vyuo na course mbalimbali kwahyo wanauhakika j3 ndio wanatoa majina ...chanzo hicho kimesositiza kuwa mtulie tcu ndoyenye haki kisheria kutoa selection hivo subirini final selection j3
Jamani,watanzania wenzangu nafikiri mnajua majukumu ya tcu,inawajibika katika kudahili na kutangaza waliodahiliwa,hivyo basi vyuo vyote havina mamlaka ya kutangaza majina ya wadahiliwa.Kumbuka hayo ni makosa na ni kuingilia majukumu ya tcu.pia kumbukeni tcu uwa haitoi vitu nusunusu kama mnavyoona yenyewe inatoa general result na ndio maana hata waliodahiliwa nacte watatangazwa na tcu yenye mamlaka.SO VIJANA ACHENI KUTAPATAPA TCU AWAJATANGAZA SUBIRINI KABLA YA JUMATATU ITAKUWA IMEREALESE.NAWATAKIA UVUMILIVU.

duh! Sasa ya nacte yatatolewa na tcu vp wakati equivalent wengine wanaonekana kwenye vyuo vya sasa vilivyotoa majina.
Unaka kuniambia majina ya ud ya sasa yanatofautiana na hayo yatakayotolewa na hao tcu? Tcu wataongeza equivalent wengine vyuoni hata vile ambayo list zao wameshatoa?? Ngumu kumeza.
Jamani,watanzania wenzangu nafikiri mnajua majukumu ya tcu,inawajibika katika kudahili na kutangaza waliodahiliwa,hivyo basi vyuo vyote havina mamlaka ya kutangaza majina ya wadahiliwa.Kumbuka hayo ni makosa na ni kuingilia majukumu ya tcu.pia kumbukeni tcu uwa haitoi vitu nusunusu kama mnavyoona yenyewe inatoa general result na ndio maana hata waliodahiliwa nacte watatangazwa na tcu yenye mamlaka.SO VIJANA ACHENI KUTAPATAPA TCU AWAJATANGAZA SUBIRINI KABLA YA JUMATATU ITAKUWA IMEREALESE.NAWATAKIA UVUMILIVU.
ni kweli inaweza kuwa ngumu kumeza ila tusubiri tu.maana baadhi ya vyuo havijatoa.