Kwa watu wanaoelewa namba katika ulimwengu wa ROHO

Kwa watu wanaoelewa namba katika ulimwengu wa ROHO

Joined
Dec 11, 2024
Posts
94
Reaction score
240
Mwaka ambao haugawanyiki Kwa mbili mfano 2025/2023/2021 /2019

Kupitia hii miaka unaweza kufanikisha mambo yako kupitia haya mambo

Visualization
Mediation
Examination
Gratitude

Frequency and attention zikiwa juu kuhusu jambo Fulani utapata hilo jambo kirahisi.

Hivyo zingatia haya mambo ili mwaka 2025 ukuletee matokeo mazuri.

  • Positive thinking
  • Gratitude

Universe kwa namba ambazo hazigawanyiki kwa mbili huwa inakuwa active Sana to compare na namba zinazogawanyika Kwa mbili.

Hivyo usiharibu nishati yako katika kuhubiri, chuki, hasira, wivu.

2025 ukiitumia vizuri na ukawa positive unaenda kufanikisha mambo yako mengi.

2025

2+0+2+5 = 9

Number nine in spiritual realm is number of completion.

So maintain to practice manifestation and intention kwa kile unachotaka kukikamilisha.
 
Mawazo ya kifukara na kimaskini .

Mafanikio hayaji kwenye mwaka usio gawanyika kwa mbili.

Hizi ni illusion uchwara tu.
 
SIjawahi kuamini kwenye nyota ingawa ina nafasi yake kwenye mambo fulani fulani. Kufanikiwa jambo sio lazima nyota. mfano anayetaka kumalizia mjengo wake kama mwaka 2025 hatakuwa na ela hawezi kuwa na complition because of nyota. Kikubwa tutafute ela mambo mengine aachiwe Allah atajalia.
 
Tatizo mkuu linalowasumbua wengi ni kukosa elimu

Mafanikio sio kufanya kazi kwa bidii bali ni connectivity kati ya world within(subconciuos mind) na world without (universe)

Ova
Acha kufanya kazi kwa bidii.

Nenda kaji connect na hiyo subconscious mind na world without universe, Tuone kama utaweza hata kumzidi Mo Dewji kwa mafanikio ya kazi zake.
 
True mkuu huyo jamaa namjua yupo depressed Sana , ni kukosa Elimu
Hakuna uhusiano wa mwaka usio gawanyika kwa mbili na kupata mafanikio.

Mwaka wowote ule mtu anaweza kupata mafanikio.

Iwe ni 2026, 2028, 2025 au 2031.
 
Tatizo mkuu linalowasumbua wengi ni kukosa elimu

Mafanikio sio kufanya kazi kwa bidii bali ni connectivity kati ya world within(subconciuos mind) na world without (universe)

Ova
Upo sahihi kaka.
Mafanikio ni kuwa na spiritual connectivity na asili (universe).
Ukifuata sheria hii na sheria zingine 'Spirituality Natural Laws' maana yake asili inakuongoza katika kutimiza kusudio lako hapa duniani na hapo ndipo utapoona mafanikio (abundance)
 
Upo sahihi kaka.
Mafanikio ni kuwa na spiritual connectivity na asili.
Ukifuata sheria hii na sheria zingine 'Spirituality Natural Laws' maana yake asili inakuongoza katika kutimiza kusudio lako hapa duniani na hapo ndipo utapoona mafanikio (abundance)
100%
 
Msiwe mnadanganya watu mkuu!!

Hakuna Cha maana kwenye hayo!

Maisha hayana kanuni ya kudumu coz hata juhudi kibao hugonga mwamba mara nyingi tu!
 
Mwaka ambao haugawanyiki Kwa mbili mfano 2025/2023/2021 /2019

Kupitia hii miaka unaweza kufanikisha mambo yako kupitia haya mambo

Visualization
Mediation
Examination
Gratitude

Frequency and attention zikiwa juu kuhusu jambo Fulani utapata hilo jambo kirahisi.

Hivyo zingatia haya mambo ili mwaka 2025 ukuletee matokeo mazuri.

  • Positive thinking
  • Gratitude

Universe kwa namba ambazo hazigawanyiki kwa mbili huwa inakuwa active Sana to compare na namba zinazogawanyika Kwa mbili.

Hivyo usiharibu nishati yako katika kuhubiri, chuki, hasira, wivu.

2025 ukiitumia vizuri na ukawa positive unaenda kufanikisha mambo yako mengi.

2025

2+0+2+5 = 9

Number nine in spiritual realm is number of completion.

So maintain to practice manifestation and intention kwa kile unachotaka kukikamilisha.
kiufupi uwe na kazi ya kufanya pia, ni mwaka wa mafanikio. usisahau maombi ni muhimu sana
 
Back
Top Bottom