Kwa watu wanaoelewa namba katika ulimwengu wa ROHO

pigeni kazi acheni ramli na ushirikina ukiona unaamini mauzauza ujue nyie ndio wote wale mnaendaga kuuziwa maji ya canadian na mafuta ya alizeti pamoja na udongo kwa yule mpuuzi kule tanganyika packers
 
Acha kufanya kazi kwa bidii.

Nenda kaji connect na hiyo subconscious mind na world without universe, Tuone kama utaweza hata kumzidi Mo Dewji kwa mafanikio ya kazi zake.
elimu ndo kitu ambacho umekosa



ELEWA NENO ELIMU
 
Fanya meditation au maombi bila ya kuwa na ajira au kazi ya kukuingizia kipato uone kama utatoboa.

Sidhani kama amemaanisha hivi

Hata kwa kawaida tu huwezi kumuomba Mungu ufanikiwe ukiwa umelala ndani hujishuhulishi
 
elimu ndo kitu ambacho umekosa



ELEWA NENO ELIMU
Hiyo elimu yako ya vichochoroni ndio ina kuaminisha kwamba mafanikio yapo kwenye miaka isiyo gawanyika kwa mbili!!!

If you believe these fictions, Your Education was a monumental waste of time and resources.
 
Tatizo akili za kimaskini zinatutawala mkuu.
Mtu anaamini ili afanikiwe ni lazima afanye kazi kwa bidii na apitie magumu.

Watu hawana ufahamu wa laws of universe

Watu hawajui kama hata maombi yao ambayo wanamuomba mungu/miungu yao kupitia lugha zao ni nonsense bali ulimwengu hauwasiliani na wew kupitia lugha yako bali kupitia frequency pekee

Hata kwenye bible ......."usipayuke payuke kama watu wa kimataifa kwa maana mungu baba anafahamu hitaji lako kabla hata hujaomba"(MATHAYO....mstari nimesahau kama msomi mzuri wa bible utafahamu)
 
embu mtusaidie hivi haya mambo yanawahusu Elon musk, Bill Gates na wenzao?
 
Achana na mambo ya hizo namba, mgeukie Mungu tu kila kitu chako kitakaa sawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…