Kwa watumiaji wa daladala tu

Huyo mtumishi inaonesha aliinjoi hiyo hali. Mpaka mwanya wa kupiga picha ulipatikana maana yake hakukuwa na sababu ya kubanana hivyo.
 
Ha haa kwa kweli..ila hakuna raha yoyote jamani..
Raha itoke wapi mkuu ni tabu tupu sema ndio ivyo tutafanyaje sasa.. acha tupeane moyo tuu hamna namna 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…