Kwa watumiaji wa huduma ya Afya NHIF

Hizi bima zote hazifai huko mwanza wengi wanazikataa na wengine wanazikubali ila ugonjwa mdogo wao wataukuza ili wapate pesa sio afya yako ugonjwa sio operesheni wakakulazimisha ufanyiwe operesheni ili wapate pesa za bima dawa utapewa zingine sio za ugonjwa wako muhimu wao pesa za bima hawajali wewe ufe au upone tahadhalini sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…