Kwa watumiaji wa Mtandao wa Instagram, umeshawahi kukumbana na hili?

Kwa watumiaji wa Mtandao wa Instagram, umeshawahi kukumbana na hili?

Mufti kuku The Infinity

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
6,053
Reaction score
10,032
Habarini wana jamvi,

Niende moja kwa moja kwenye mada.

Nikilog in wanataka niverify kama akaunt ni ya kwangu, kwa hio wanatuma verification code kwenye namba ambayo nishaipotezaga
Na hamna option nyingine ya kupata hizo code.

Msaada kwa anae fahamu jinsi ya kusolve hilošŸ™šŸ½
 
Back
Top Bottom