Kwa watumiaji wa Mtandao wa Instagram, umeshawahi kukumbana na hili?

Mufti kuku The Infinity

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
6,053
Reaction score
10,032
Habarini wana jamvi,

Niende moja kwa moja kwenye mada.

Nikilog in wanataka niverify kama akaunt ni ya kwangu, kwa hio wanatuma verification code kwenye namba ambayo nishaipotezaga
Na hamna option nyingine ya kupata hizo code.

Msaada kwa anae fahamu jinsi ya kusolve hilo🙏🏽
 
Verify by email mbona simple mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…