Unaenda Rwanda? Tukutane Remera kesho mchanaNiko hapa Nyakanazi, nasubiri kukuche niendelee na safari!
Boha we utakuwa ndg yangu nikienda milimani lazima ninywe kiduchuGongo na boha hunitoi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bila shaka mkuuWapo bize na mwendo kasi....
Ndo kilevi changuNi pombe hiyo mkuu?