teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Watumiaji wa Tecno smart Kitochi, Tigo smart Kitochi pamoja na Vodacom smart Kitochi naomba kujua hizo simu kama zina uwezo wa Hotspot, namaanisha kwamba kama nikiweka bando la internet naweza kuitumia hiyo simu kama hotspot kwa simu nyingine au computer? mrejesho tafadhali