Kwa watumiaji wa Tecno smart Kitochi

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Watumiaji wa Tecno smart Kitochi, Tigo smart Kitochi pamoja na Vodacom smart Kitochi naomba kujua hizo simu kama zina uwezo wa Hotspot, namaanisha kwamba kama nikiweka bando la internet naweza kuitumia hiyo simu kama hotspot kwa simu nyingine au computer? mrejesho tafadhali
 
Ndio. Mm ndio naitumia kwaajili ya hilo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali la nyongeza vip speed yake ukiconnect na hotspot?
 
Ni simple tu. Simu ya button inafungua version ya website ambayo ni basic sana na haina vitu vingi vinavyokua loaded. Smartphone itafungua full mobile website imbayo ina vitu vingi vinavyotakiwa kuwa loaded kma picha, ads, n.k.

Ulaji bando ni vile vile tu maana mm nakitumia kuconnect kwenye smartphone yangu na laptop. Situmii hcho kitochi chenyewe kwa internet (hayo yatakua mateso)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina tecno t920d kwenye speed napata hadi mb 6 kwa sekunde wakati wa kudownload kwa line ya halotel. Hiki hakina sehemu ya kuswitch 4g only pia ukiunga internet kwenye kompyuta kwa kutumia usb, hostpots inajifunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…