Ugonile malafyaleee!!Duu, kama maduka ya kijijini unakuta mtu anaenda kukata majani ya mifugo huku anauza dukani
Hayo ni maduka ya kuji-keep busy, hasa kwa walamba pensionmaduka ya familia hapo akija unamuuliza bei bidhaa flani anakuambia subiri nimuite mzee/baba.
TwambomboUgonile malafyaleee!!
Duu, kama maduka ya kijijini unakuta mtu anaenda kukata majani ya mifugo huku anauza dukani