Kwa wauzaji wa IST, Vitz, Noah

Kwa wauzaji wa IST, Vitz, Noah

Marcel_10

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
390
Reaction score
161
Habari wakuu

Sikuizi naona IST na Vitz nyingi Sana sinauzwa mitaani..

Nina idea ya Biashara kidogo

Idea yenyewe ni hivi

Natafuta watu 5-10 , Ambao tutaandikishana mkataba , ambapo baada ya kuuza gari, ulete gari yako tukufanyie kazi kwa muda wa miaka miwili (2).

Kwa miaka 2, kila siku utapata hesabu ya elfu 25 ( 25,000/siku)

Maana yake

25,000x7 ( siki 7 )=175,000

175,000x4 ( wiki 4) = 700,000

700,000x12 ( miezi 12 ) =8,400,000

Kwa miaka miwili

8,400,000 x2 (Miaka 2)=16,800,000

Sasa Mimi ( Sisi ) kama kampuni ya usimamizi na watunzaji unatulipa 15% ya pesa ya siku

Manaa yake

15% x 25,000= 3,750

Maana yake badala ya wewe mwenye gari kupokea 25,000 kwa siku ,utapokea 21,250

Kwahivyo
Kwa siku
21,250
Kwa wiki
21,2500x 7= 148,750
Kwa mwezi
148,750 x 4 = 595,000

Kwa mwaka

21,250x 365( siku 365= mwaka )= 7,756,250

Kwa miaka miwili

7,756,250x 2=15,512,500

Baada ya miaka miwili gari yako tunakulipa asilimia 20 ya dhamani ya gari tulikubaliana kwenye mkataba.

Mfano .

Kama IST tuliisaminisha kwa 8million

Maana yake

20% x 8,000,000= 1,600,000

Hivyo kwenye 15,512,500 ya malipo yako kwenye miaka miwili , tutakuongezea1,600,000 ambayo sawasawa na 17,112,500 utaalipwa. Na baada ya hapo hautakuwa na umiliki tena wa chombo chako.

Note

Gharama za garage ni za dereva na kampuni

Hii project itafanyika Dar es salaam pekee


Kama upo interested
Kwa dereva na mwenye gari (bosi )
WhatsApp / sms 0737480658

KARIBUNI KWA MAONI NA USHAURI
Warnings
Wabongo mpo negative sana nawafahamu, not a giver nor good counselors.
Kama upo hivyo kambali na huu Uzi


Ceteris Paribus
 
Hizi ndo zinaitwa biashara kichaa, mkuu kanunue tu magari yako ufanyie biashara.......ya nini kutafuta migogoro na watu.
 
Biashara za makaratasi na Motivational speakers....kivitendo Ni tofauti. Kuna taksi kibao zinashindwa kulet hesabu ya elfu ishirini kwa siku.
Usikatishe tamaa watu
Njoo tuingie mkataba
Tuone Kama hutopata hesabu yako
 
Hizi ndo zinaitwa biashara kichaa, mkuu kanunue tu magari yako ufanyie biashara.......ya nini kutafuta migogoro na watu.
Okay 🚮
next time pita kule usije na kejeli zako
 
Mtu ambaye hajafanya biashara ya gari anaamini gari itatembea mwaka mzima bila kusimama dereva haumwi hapati dharura gari haipati breakdown nk.
Hzo ni sehemu ya changamoto kaka
 
Back
Top Bottom