steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
-Injini ya vitz old model-Tshs.600,000/
=
-Milango minne 'complete' pamoja na
power windows zake ukiwamo na wa
boot na kasoro wa dereva-
Tshs.600,000/=
-Gearbox-Tshs.200,000/=
-Controlbox-Tshs.100,000/=
-Regeator-Tshs.100,000/=
-Bodi kama screpa natoa bureeeee
ukilipia hivyo vitu nilivyoorodhesha
Wakuu,hivi vitu vyote vinapatikana
Morogoro mjini,na vipo kwenye gari
iliyopata ajali mwaka huu mwezi wa
sita,hivyo vitu vyote ni vizima kabisa
havijapata uharibu wowote ule katika
hiyo ajali
Ukihitaji wasiliana na mimi mwenye
mali kupitia namba
0788111155/0717103825.
NB: Vifaa hivyo naviuza vyote kwa
pamoja na sio kimoja kimoja
Karibuni sana wakuu.
Naomba kuwasilisha.
=
-Milango minne 'complete' pamoja na
power windows zake ukiwamo na wa
boot na kasoro wa dereva-
Tshs.600,000/=
-Gearbox-Tshs.200,000/=
-Controlbox-Tshs.100,000/=
-Regeator-Tshs.100,000/=
-Bodi kama screpa natoa bureeeee
ukilipia hivyo vitu nilivyoorodhesha
Wakuu,hivi vitu vyote vinapatikana
Morogoro mjini,na vipo kwenye gari
iliyopata ajali mwaka huu mwezi wa
sita,hivyo vitu vyote ni vizima kabisa
havijapata uharibu wowote ule katika
hiyo ajali
Ukihitaji wasiliana na mimi mwenye
mali kupitia namba
0788111155/0717103825.
NB: Vifaa hivyo naviuza vyote kwa
pamoja na sio kimoja kimoja
Karibuni sana wakuu.
Naomba kuwasilisha.