Kwa wavulana, majibu mabaya ya kukataliwa toka kwa wasichana ambayo hutakaa usau

shonkoso

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
687
Reaction score
1,454
Nikiwa Form Four mbele ya wanafunzi wa kike na wakiume kadhaa, nilijaribu kumtongoza dada fulani hivi mbele za watu akapayuka, NIMEKWAMBIA NENDA KATOE KWANZA HILO GOVI LAKO, NDO UJE UNITONGOZE, ni kweli kwa utamaduni wa kabila letu kutahiriliwa ilikuwa ni option, lakini mimi nilikuwa nimetahiriwa kitambo sana coz sema tu rafiki zangu walikuwa wana utani sana na watu toka eneo la kwetu mkono wa sweta mkono wa sweta.

Baada ya yule vingi kutamka hayo maneno ghafla nilijihisi kama nimedondoshewa jiwe la Fatuma, sijawahi, haikuchukua muda sana karibia shule nzima ilikuwa inajulikana, I felt so bad, japo huyo msichana alikuja kuniomba msamaha baadae sana, ili kiukweli nilitokea kuwachukia sana wanawake, nilikaa kama miaka sita hivi bila kutongoza.

Karibu na wewe kama umewahi patwa na kisa fulani sababu ya tongozatongoza.
 
Oya Govinda hii post sio ya kule kwenye jokes?
 
Moja ya sababu iliyonifanya nifukuzwe shule nikiwa kidato cha pili.Kulikuwa na demu mmoja kwa kweli alikuwa pini hasaa kwa kipindi hicho, ilipidi niingie kwa gia ya kumpiga viofa canteen, mtoto alisahau. ugali maharage yeye ikawa ni wali nyama, pilau asubuhi chapati chai maziwa, siku narusha kamba rasmi,, binti alichonijibu tena tulikuwa prepo usiku “umezani mimi ni wa kirahisi hivyo na viela hela vyako, kamtongoze dada yako kwanza akikukubalia ndio urudi kwangu plzz....., hakumalizia kuongea nikahisi jini mtoa roho kanivaa, mpaka ninavyoandika hapa hana meno mawili ya mbele..Sita kaa nisahau ile siku, kesho yake bila kikao wala nini niliambiwa tu ndani ya masaa matatu nisiwe eneo la shule kwani mimi sio mwanafunzi ni jambazi, nazani hata alipo anajutia mpaka leo kunijibu vile.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah alikuharass sn..
 
Niliambiwa kidude changu kidogo hata akikohoa tu kinatoka,yaan nilijisikia vbaya sana
 
Daahh wkt nipo sec,kuna dem nlifukuzia kwa mda mrefu sna ila siku 1 akanijibu hv..
1:ww maskin.
2:huna hadhi ya kuwa na mm.
3:nimekutana na wazuri kuliko ww.
Ayo ni maneno ambayo huwa siyasahau ktk kichwa changu&yananipaga msukumo wa kuhusle zaid ktk maisha yng. cuz kipind icho nachanwa ivyo,mtoto kwao mambo safi wakat me kapuku tu.lkn mungu alivyo waajabu,yule dem saiv kwao hali mbaya nyodo kwisha na kawa rafik yng tu wa kawaida.kabwela bdo nazisaka ili siku 1 aje anipe heshima japo sihitaj kuwa na relation naye cuz I hv someone I real luv.ndo ivyo mkuu..
 
Moja ya sababu iliyonifanya nifukuzwe shule nikiwa kidato cha pili.Kulikuwa na demu mmoja kwa kweli alikuwa pini hasaa kwa kipindi hicho, ilipidi niingie kwa gia ya kumpiga viofa canteen, mtoto alisahau. ugali maharage yeye ikawa ni wali nyama, pilau asubuhi chapati chai maziwa, siku narusha kamba rasmi,, binti alichonijibu tena tulikuwa prepo usiku “umezani mimi ni wa kirahisi hivyo na viela hela vyako, kamtongoze dada yako kwanza akikukubalia ndio urudi kwangu plzz....., hakumalizia kuongea nikahisi jini mtoa roho kanivaa, mpaka ninavyoandika hapa hana meno mawili ya mbele..Sita kaa nisahau ile siku, kesho yake bila kikao wala nini niliambiwa tu ndani ya masaa matatu nisiwe eneo la shule kwani mimi sio mwanafunzi ni jambazi, nazani hata alipo anajutia mpaka leo kunijibu vile.
Mkuu nimecheka sanaa baada ya kusoma hii post,....Kumbe kuhonga mmeanza zamani eeh?...aise kuhonga ni Genetically controlled....BTW ulilofanya lilikuwa sawa kulingana na umri....USIRUDIE KUHONGA KIZEMBE TENA! KULA MZIGO KWANZA THEN KUHONGA BAADAE.
 
Mkuu achaa tuu kipindi hicho ukiona mtoto mzuri gia namba moja ni kumpa viofa, mwisho wa siku anatia ngumu, ila alinifundisha somo.Ila sometimes unakosa gia mkuu inabidi uanze na hiyo[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Moja ya sababu iliyonifanya nifukuzwe shule nikiwa kidato cha pili.Kulikuwa na demu mmoja kwa kweli alikuwa pini hasaa kwa kipindi hicho, ilipidi niingie kwa gia ya kumpiga viofa canteen, mtoto alisahau. ugali maharage yeye ikawa ni wali nyama, pilau asubuhi chapati chai maziwa, siku narusha kamba rasmi,, binti alichonijibu tena tulikuwa prepo usiku “umezani mimi ni wa kirahisi hivyo na viela hela vyako, kamtongoze dada yako kwanza akikukubalia ndio urudi kwangu plzz....., hakumalizia kuongea nikahisi jini mtoa roho kanivaa, mpaka ninavyoandika hapa hana meno mawili ya mbele..Sita kaa nisahau ile siku, kesho yake bila kikao wala nini niliambiwa tu ndani ya masaa matatu nisiwe eneo la shule kwani mimi sio mwanafunzi ni jambazi, nazani hata alipo anajutia mpaka leo kunijibu vile.
hahah hii imenifanya nicheke hadi kuamsha wapangaji
 
Mkuu achaa tuu kipindi hicho ukiona mtoto mzuri gia namba moja ni kumpa viofa, mwisho wa siku anatia ngumu, ila alinifundisha somo.Ila sometimes unakosa gia mkuu inabidi uanze na hiyo[emoji1][emoji1][emoji1]
Kama ulianza kuhonga ukiwa mtoto hivyo,...sasa hivi hujaonga nyumba kweli?😀😀😀😀😀
 
Kiukweli inapobidi kwa mtoto mzuri huwa sijiulizi, ila now mpaka nihakikishe 100% ntashona marinda[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mkuu achaa tuu kipindi hicho ukiona mtoto mzuri gia namba moja ni kumpa viofa, mwisho wa siku anatia ngumu, ila alinifundisha somo.Ila sometimes unakosa gia mkuu inabidi uanze na hiyo[emoji1][emoji1][emoji1]
Kuhonga ndyo mistake kuu kwa watoto wa shule husimpe yeye jihonge wewe kwa pamba kali, misosi mikali kutembelewa mara kwa mara na ndugu mwenye hela au wazazi, kuwa mwanamichezo au msanii, utawamega
 
1 Unaregeza sauti kama ngese
2 Sura mbaya kama jambazi la manzese
3 Mwembamba kama unatoka ethiopia
 
Moja ya sababu iliyonifanya nifukuzwe shule nikiwa kidato cha pili.Kulikuwa na demu mmoja kwa kweli alikuwa pini hasaa kwa kipindi hicho, ilipidi niingie kwa gia ya kumpiga viofa canteen, mtoto alisahau. ugali maharage yeye ikawa ni wali nyama, pilau asubuhi chapati chai maziwa, siku narusha kamba rasmi,, binti alichonijibu tena tulikuwa prepo usiku “umezani mimi ni wa kirahisi hivyo na viela hela vyako, kamtongoze dada yako kwanza akikukubalia ndio urudi kwangu plzz....., hakumalizia kuongea nikahisi jini mtoa roho kanivaa, mpaka ninavyoandika hapa hana meno mawili ya mbele..Sita kaa nisahau ile siku, kesho yake bila kikao wala nini niliambiwa tu ndani ya masaa matatu nisiwe eneo la shule kwani mimi sio mwanafunzi ni jambazi, nazani hata alipo anajutia mpaka leo kunijibu vile.
Duuuh! Kwahiyo haukuamia shule nyingine? Na hamjawahi kutana tena na huyo manzi?
 
Back
Top Bottom