Kweli kabisa hata mimi nilishuhudia moja lakini mungu mkubwa haiku's mbaya.Kati ya mambo yanayonikosesha raha ni jinsi hawa madriver wa hizi school bus walivyokosa umakini waendeshapo watoto wetu...Nilshuhudia ajali ya bus la shule iliopelekea kupoteza uhai wa watoto watatu hapo hapo...niliumia mno na siwezi sahau tukio lile...Toka siku hiyo huwa najitahidi sana asubuh kuhakikisha na wadrop watoto wangu shuleni kwao mwenyewe nimeshindwa tu kuwachukua jioni..Kweli kuna changa moto sana kumlea mtoto hadi akue.
Nijuavyo mimi si tatizo kwakuwa kuna watoto huwahi na wengine huchelewaWakuu mwanangu miaka mi nne kasoro na ameanza kung'ooka memo kabla ya kaka yake kwenye miaka sita
je inaweza kua ana tatizo au Hua inatokea wenye uzoefu na hili nijuzeni
Jaribu kuwasiliana na daktari bingwa kwakuwa kuna akina mama wana hiyo shidamimi mke wangu amejifungua lakini maziwa hayatoki kabisa akinyonyesha labda mwezi mmoja tu baada ya hapo mtoto hashibi inabid aanzishiwe maziwa mbadala, je tatizo liko wapi na ufumbuzi wake ni upi?
Bro hzo za asili nimechemka...na zilishapelekea kutaka kumbemenda mtoto.Njia za kiasili ndio the best nyingine zote zina madhara
Fuata hizi
Kumalizia nje
Kufuata majira ya mama
miaka miwili kasoro mwez mmoja.Mmh mtoto ana umri gani
Makuzi ya mtoto kiroho piaMakuzi ya mtoto kiakili
Makuzi ya mtoto kimwili
Makuzi ya mtoto kimaadili
Naamini tuna wataalam wengi kwenye hizo nyanja ambao watakuja na mada zenye kujenga na kuelimishana.
hahaaaaa!pole sana!Bro hzo za asili nimechemka...na zilishapelekea kutaka kumbemenda mtoto.
Sema nenohapa pazur
Dada ile kitu imetengenezwa bila kuzingatia umri ina material ngumu kwa tumbo changa LA mtotoHivi lishe sio nzuri kwa watoto? Kwanini inasababisha constipation muda wote?
Labda ikiwekewa mafuta (ya kupikia, au blue band) ila hivo hivo inaleta shida...... Haifai kwa watoto?
Hata kutengeneza tu home bado haifai? Make mie nlikua natengezeza ila nimeamka kuacha sasa japo kijana anakaribia two yearsDada ile kitu imetengenezwa bila kuzingatia umri ina material ngumu kwa tumbo changa LA mtoto
Vyakula vya watoto wadogo vingi vinatakiwa kuwa laini Sana na vilivyoiva sana umecheki hilo?Hata kutengeneza tu home bado haifai? Make mie nlikua natengezeza ila nimeamka kuacha sasa japo kijana anakaribia two years
Yap wa Laini na unaiva sana make napika mwenyewe, japo ulezi ndo unatania hiyo kuna muda nlikua siweki ulezi labda ni mahindi, ngano na soya tu ila bado inaleta shidaVyakula vya watoto wadogo vingi vinatakiwa kuwa laini Sana na vilivyoiva sana umecheki hilo?
Lishe si nzuri kwa watoto wadogo unachanganya ingredients nyingi kwa wakati mmoja halafu kipimo ni macho yako lazima mtoto apate constipationYap wa Laini na unaiva sana make napika mwenyewe, japo ulezi ndo unatania hiyo kuna muda nlikua siweki ulezi labda ni mahindi, ngano na soya tu ila bado inaleta shida