Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Sahihi kabisa kaka
 
Wakuu Kwa watu wanao ishi mikoa yenye joto ina shauriwa sio vizuri kuwasha Ac au feni sehemu ya kulala mtoto je kuna madhara gani iwapo uki washa hivyo vifaa na umri gani sahihi wa mtoto kuwashiwa ac au feni ??
 
Hivi vyote hasa AC hutoa ubaridi wa kutengeneza/bandia! Mwili wa mtoto mfumo wake wa hewa bado unakuwa haujakomaa hivyo kuweza kumletea athari kubwa za nimonia kifua nk
Feni nayo kama chumba sio kisafi sana hutimua vumbi na kumfanya mtoto alivute na kupata athari
 
Posuta! Kasimba hawajambo? Mwa lala ule?
 
Asante sana mkuu Kwa elimu hii,je umri sahihi wa kuwasha feni au Ac kwenye chumba anacho lala mtoto ni upi ???
 
Asante sana mkuu Kwa elimu hii,je umri sahihi wa kuwasha feni au Ac kwenye chumba anacho lala mtoto ni upi ???
Kwakweli ikibidi usiwashe kabisa hata kwa mtu mzima....na kama ukiwasha iwe low kabisa
 
Kwakweli ikibidi usiwashe kabisa hata kwa mtu mzima....na kama ukiwasha iwe low kabisa

Asante mkuu ,sitakiwi kuwasha hata ceeling fan (fan lile linalo fungwa juu ) hata kwa mtu mzima ?pia hata hilo lina madhara kwa watoto ?
 
Wazazi tuepuke kutenda tendo la ndoa tukiwa na watoto wachanga/wadogo vyumbani.
Tunalala na wanetu vitandani na tunafanya tendo tukidhani vitoto vimelala.
Vinaona. (Ile picha ya kale katoto kaliko lazwa na kanakata kiuno)
 
hii ya kitunguu saumu unakifanyaje kwa mtoto wa mwezi mmoja na nusu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…