Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Wazazi tuepuke kutenda tendo la ndoa tukiwa na watoto wachanga/wadogo vyumbani.
Tunalala na wanetu vitandani na tunafanya tendo tukidhani vitoto vimelala.
Vinaona. (Ile picha ya kale katoto kaliko lazwa na kanakata kiuno)
Kuna ukweli dhahiri kwenye hili, tena wazazi wa yule mtoto inaelekea ni mafundi hasa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mshana Jr habar mkuu. Mtoto mchanga wa wiki 4( mwezi 1) kupiga kwikwi inaadhiria nini? Maziwa amekunywa.
 
Mshana Jr habar mkuu. Mtoto mchanga wa wiki 4( mwezi 1) kupiga kwikwi inaadhiria nini? Maziwa amekunywa.
Gesi hiyo akishakunywa maziwa muweke begani Misha msugue gently mgongoni mpaka acheue

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kanasinzia halafu kanatabasamu ,je kanacheka na malaika?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kanasinzia halafu kanatabasamu ,je kanacheka na malaika?

Post sent using JamiiForums mobile app
Hongera Kako salama kuna wengine ni vilio mwanzo mwisho

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hongera Kako salama kuna wengine ni vilio mwanzo mwisho

Post sent using JamiiForums mobile app
Wakati namtafuta nilifuata maagizo.
1: Kulala mapema 2: kufanya mazoezi 3: balanced diet 4: Mwenzangu sikumbugudhi .manii yalikuwa mubashara[emoji3] [emoji3]
 
Well done bro kwa mada nzuri kabisa tunashare na kujifunza big up sana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wakati namtafuta nilifuata maagizo.
1: Kulala mapema 2: kufanya mazoezi 3: balanced diet 4: Mwenzangu sikumbugudhi .manii yalikuwa mubashara[emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]good for you

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Bro mshana nmechelewa kidogo kuona huu uzi wako lkn sidhani kama nmechelewa sana kuzipata nasaha zako.
Tatzo langu brother ni kwamba ktk harakat za utafutaj nlifanikiwa kukutana na binti nkampa ujauzito nkawa natoa mahtaj yote stahiki mpaka alipojifungua na mpaka sasa bado natoa huduma kwa mama na mtoto ila toka mtoto azaliwe mpaka sasa ana miez 7 sijawah kufanikiwa kumuona kutokana na nature ya kaz yangu na hata huduma nnazotoa huwa naztoa kwa njia ya mitandao.

Tatzo lililopo brother ni kwamba huyu mtoto mama yake amekuwa akinipa taarifa kwamba huwa analia sana usiku kias kwamba huwa anahs anaumwa na anapompeleka hospital huwa hakutwi na tatzo lolote kiafya,mama yake amekuwa akinitaarifu kuwa huwa hawalali usiku kwasababu ya kilio cha mtoto,huwa anakesha nae had kunapokaribia kupambazuka ndipo anatulia na kulala, tatzo hili sio la moja kwa moja bali ni la msimu yaan anaeza akafululiza kulia wik nzma kisha akaacha kwa siku kadhaa na kuanza kulia tena.

Brother hapa tatzo linaweza kuwa nn na vp naweza nkalitatua?nmeanzia mbali sana ili kukupa mwanga zaid wa kuweza kunishaur...Asante
 
Pole sana sana nakushauri uende ukaione damu yako tafadhali..kuna kitu mtoto anapitia na hicho ndio kinamletea vilio vya kila Mara...please jitahidi uende

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi umenihusu, naomba kuuliza?

Mpenzi wangu anaujazito wa kama week moja, je atumie chakula gani Kitakacho mpa nguvu na mimba kuendelea vizuri.?

Upande wa matunda pia pamoja na vinywaji je atumie kinywaji gani? na asitumie kinywaji kipi? Matunda atumie matunda gani? Na asitumie yapi?

Natanguliza shukuruani, ndo naingia kwenye majukumu.
 
Ale na kunywa vyote anavyopenda huku akiepuka kwa kiasi kikubwa vyakula vya vinywaji vya makopo, artificial na vitu kama nyama za kisasa na mayai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…