Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Mimba ya kwanza ya mke wangu ilitoka na sasa ana wiki mbili kasafishwa.
Na sijui tatizo ni lipi liliopelekea hadi mimba kitoka.
 
Ilikuwa na miezi mingapi? Alikuwa anafanya kazi ngumu? Vipimo vinasemaje? Alikuwa na shinikizo la damu? Alikuwa na dalili za kichaa CHA mimba?
 
Miez miwili, kazi aliyokuwa anafanya ni kufua labda na kupiga deki ndani, vipimo group la damu ni A, hama maambukizi yeyote, ana pressure kiasi, dalili za kichaa cha mimba sijui.
 
Mmh mimba kutoka na miezi miwili sio kitu cha kawaida sana kwakuwa kwa umri huo hata mtoto haujaumbika vizuri..... Nakushauri kafanye vipimo vya uhakika
 
Kwakweli ikibidi usiwashe kabisa hata kwa mtu mzima....na kama ukiwasha iwe low kabisa
Mkuu hapa kama unanikanganya kliniki za Dar wanawasha mafeni na kuvua nguo watoto na vyumba vya kulaza watoto AC ziko below 20 degree C ukipandisha ugomvi na manesi!wanasema cha muhimu feni na chumba kiwe safi kusiwe na vumbi muwashie mtoto feni
 
Haya mambo yanachanganya ila kwa uzoefu wangu sio nzuri kabisa labda iwekwe mbali
 
Mimba ya kwanza ya mke wangu ilitoka na sasa ana wiki mbili kasafishwa.
Na sijui tatizo ni lipi liliopelekea hadi mimba kitoka.
Kusafishwa tunapenda Sana ila kama I'm back imetoka na hakuna tatizo tuache tumbo la uzazi lijisafishe lenyewe jamani
 
Kikohozi ni tatizo kubwa lisumbualo watoto changanya manjano(binzari) kijiko kimoja na asali mbichi vijiko vitatu koroga hadi mchanganyiko uchanganyike vizuri

Then mlambishe mwanao mara kwa Mara utaona matokeo yake
 
Asanteni kwa kuleta uzi huu, naomba kuelimishwa kuhusu uzazi wa mpango, kuna mdogo wangu kaweka vijiti vile vya kwenye mkono vya miaka mitatu, ana mwaka mmoja na nusu haendi mwezin,anatakiwa atoe mwakani mwez wa 4 lakini kuanzia mwez uliopita amekua akisumbuliwa na UTI zisizoisha na amekua mchovu sana,je kijiti chaweza kuwa sababu na kutokuingia MP kwa muda wote huo ni tatizo?

Japo aliwahi kurud alikowekewa kijiti wakamwambia haina athari. Je, e akitoa kijiti lazima asafishwe, msaada wenu tafadhali wenye uelewa hapo, asanteni
 
Naomba nishauri kama ifuatavyo japo naweza kupingana na serikali...
Haya mambo ya vijiti au vidonge vya mpango nk vyote vina madhara kwa watumiaji na madhara yanatofautiana

Ushauri wangu avitoe kisha akubali kuwa na kipindi kigumu cha mpito wakati mwili unajirekebisha kurudi kwenye uasili wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…