Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Kuna watoto ukilea inabidi uwe na roho ngumu sana. Muda huu nazunguka kumtafuta mtoto. Actually ni mtoto wa sista wangu, ninamlea yuko standard 3. Nimezunguka tangu sa 2 usiku, time hii imebidi nikae grocery nipate K vant akili ikae sawa. Hii ni tabia ya kudumu.

Dogo ikifika weekend hataki kukaa home, kuna muda anaamka saa 12 asbh anafungua geti kwenda kucheza na humpati hadi sa 2 usiku. Na hyo saa 2 ni hadi umtafute. Kama njia za kidiplomasia nimetumia sana, viboko nimechapa sana. Hebu nishaurini wakuu nitumie njia ipi?
 
Mmh pole sana hebu fanya apatikane kwanza... Kisha nijulishe tuweze kufanya mazungumzo ya faragha
 
Si kweli kuwa asali na tangawizi ni dawa ya PNEUMONIA. Tunashauriwa kutumia xhai ya rangi iliyoungwa asali au sukari ya kawaida na anyweshwe kama kitulizo cha kikohozi.

Mara nyingi kikohozi hiki kinatokana na kuchuruzika kwa makamasi pale anapokuwa na mafua , ambapo kama ilivyokawaida ,chochote kisichokuwa hewa kikiingia njia hii natural defence yanjia hii hujitahidi kukitoa kitu hicho kwa kukuoa
 
Kumpuliza ni mambo ya mapokeo but it doesnt work scientifically Mshana
 
Makuzi ya mtoto kiakili
Makuzi ya mtoto kimwili
Makuzi ya mtoto kimaadili

Naamini tuna wataalam wengi kwenye hizo nyanja ambao watakuja na mada zenye kujenga na kuelimishana.
Mi nataka kujua ile dhana ya kitovu kumuangukia mtoto wa kiume sehemu zake za siri na uhanithi ipo vipi
 
Mshana Wewe Balaa Hapo Ukute Unataka Kumpa Matunguli Faragha Mtoto Wa Kutoka Saa 12mpaka umtafute saa 2 usiku arudi hatari
 
Mshana Wewe Balaa Hapo Ukute Unataka Kumpa Matunguli Faragha Mtoto Wa Kutoka Saa 12mpaka umtafute saa 2 usiku arudi hatari
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Labda niongezeongezee tu nguo za mtoto kuchanganya na nguo za watu wazima hili nalo sio zuri kwa afya ya mtoto pia hata mazuria au yale madubwasha yakufutia miguu nayo si mazuri kwa afya ya mtoto kwasababu ni wengi wanakanyaga kwenye mazuria na hayo madude ya kufutia miguu sasa na watoto ndio wadau wakubwa wa kupenda kucheza kwa kugalagala chini na tukumbuke ngozi ya mtoto sio sawa na mtu mzima ni rahisi sana kupick bacteria kutoka kwenye hayo mazuria n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…