mtu mwembamba
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 342
- 422
Ni ngumu kufanya predictions lakini binafsi nakushauri muogeshee na maji yaliyochanganywa na chumvi kidogo... Chumvi ni tiba nzuri kwa nguvu hasi zote... Na mojawapo ya vitu vinavyomfanya mtoto alie ama astukestuke usingizini ni hizo nguvu hasi
Ya mabonge ndio nzuri zaidi
Hii hali ipo sana na kiroho huchagizwa na nafasi ya kusaka upendo...Mkuu mshana Jr sijui nitakuwa nimetoka nje ya mada au ,naomba unipe mwongozo
HALI YA MWANAMKE KUMCHUKIA MWANAUME/MUME ANAPOKUA KWENYE HATUA ZA MWANZO ZA UJAUZITO INASABABISHWA NA NINI, JE NI KWELI INATOKEA AU MWANAMKE ANAJIFANYISHA TUU,
HAIRUHUSIWI KUMKARIPIA ,KUMWONYA ,KUMSAHIHISHA ANAPOKUA KWENYE HATUA ZA MWANZO ZA UKUAJI WA MTOTO TUMBONI ,KILA ANACHOKISEMA MWANAUME INATAKIWA UKUBALIANE NACHO, ??
NI KWA NAMNA GANI MWANAUME ANAWEZA KUEPUKA HILO AU LINA UKOMO??
Kwani huu uzi umewaandikia wa Dar tuu!!?Hili jambo nimekuwa najaribu kusema lakini wazazi wetu yani wakwe na mama zetu huchangia sana kuumiza watoto ktk eneo hili kwa kisingizio mtoto anahitaji joto mtoto huwa hasikii joto wanashindwa kuelewa dar ni tofauti pengine na mkoani ulipozaliwa wewe au bibi huyo alipokuzia watoto wake wengine unaenda clinic daktari anakushangaa jinsi ulivyomjaza mtoto nguo nyingi kabaki macho tu.wazazi tuwe makini hawa ni wakubwa zetu ila panapobidi kuwaelewesha tufanye hivyo vinginevyo ni sisi ndio tunakuja kupata shida na watoto wetu badae.
Ni ngumu kufanya predictions lakini binafsi nakushauri muogeshee na maji yaliyochanganywa na chumvi kidogo... Chumvi ni tiba nzuri kwa nguvu hasi zote... Na mojawapo ya vitu vinavyomfanya mtoto alie ama astukestuke usingizini ni hizo nguvu hasi
Pole sana tatizo la kulala ningekushauri utumie chumvi kwa mbali kwenye maji kumuogesgea... Hilo la kuharisha muone daktariJAMANI MWANANGU MIMI ANA TATIZO LA KULALA KIDOGO NA KUAMKA...NA ANA MWEZI MMOJA TAYARI...
LAKINI ANALALA KIDOGO ANA AMKA ANALIA...YAANI HUWA HALALI MDA MREFU...
SASA WENGINE WAKASEMA LABDA HASHIBI...LAKINI JAMANI MAMA AKE ANA MAZIWA MENGI MPAKA YANAMWAGIKA...NA MTOTO ANANYONYA BALAAA...MPAKA ANAACHA MWENYEWE...
WENGINE WAKANAMBIA LABDA MAZIWA YA MAMA NI MEPESI...SASA HAPO NDIO NIKACHANGANYIKIWAAAA...
TUTAFANYAJE MAZIWA YA MAMA YAWE MAZITO...?
LAKINI PAMOJA NA YOTE...MWANANGU HAUMWI...ANAARISHA TU KILA AKIJISAIDIA...KAMA MTOTO NI KAWAIDA...NDO NIKAAMBIWA NA WATU KUWA MAZIWA YA MAMA MEPESI...
ILA MWANANGU ANA AFYA TU NZURI...
NAOMBENI UFAFANUZI KWA MWENYE UTAALAM JAMANI...
Ndugu Mshana Jr tafadhali...
Baba nimekupata ngoja nilishughulikieePole sana tatizo la kulala ningekushauri utumie chumvi kwa mbali kwenye maji kumuogesgea... Hilo la kuharisha muone daktari
Kuna vifua husababishwa na mtoto kunywa maji ya fuko la uzazi wakati wa kuzaliwa, hivi vifua havina tiba huisha vyenyewe baada ya miaka 5 mpaka 7Mwanangu anakifua kisicho isha kinapungua na kuendelea kama kawaida, naomba ushauri wa dawa ambazo zinaweza kuwa msaada kwake hata dawa za asili maana nimetumia dawa nyingi Hadi ma doctor wamesema kitapona chenyewe, msaada tafadhari umri wake ni miezi 7.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamuone Dr wa Watoto,kun uwezekano mkubwa ana mzio (allergy) na kitu ambacho anatumia mara kwa mara probably vitu vinavyochanganyiwa kwenye uji wa lisheMwanangu anakifua kisicho isha kinapungua na kuendelea kama kawaida, naomba ushauri wa dawa ambazo zinaweza kuwa msaada kwake hata dawa za asili maana nimetumia dawa nyingi Hadi ma doctor wamesema kitapona chenyewe, msaada tafadhari umri wake ni miezi 7.
Sent using Jamii Forums mobile app