Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Uzi ni productive..
Ok noted boss lakini pia dagaa na migebuka hope inafaa maana laina wa pande hiyo wana akili na vipaji sema wabishi kisa dagaa
 
Jamani naomba nijuzwe na wataalam na wazoefu...MIMI NAONA KUNA ILE TABIA MTOTO AKIANZISHIWA CHAKULA TU BAADA YA KUNYONYA MIEZI 6...BASI NI MTOTO NI MIUJI TUUUUU YA UNGA WA SEMBE...

KITU AMBACHO MIMI NAONA SIO SAWA...

HIVYO BASI NAOMBA UFAFANUZI WA KITAALAM NA KIZOEFU...NI CHAKULA GANI CHA KUMUANZISHIA...

VIPI KUHUSU ASUBUHI...MCHANA NA JIONI...
 
Mwanangu anamiaka 11 lakini anakojoa kitandani, nimetumia mbinu mbali mbali lakini sijafanikiwa... Msaada tafadhali
 
Si jambo jema kabisa.... Inapaswa kuchanganyiwa vyakula vya aina zote ili mtoto apate balanced diet
 
Mwanangu anamiaka 11 lakini anakojoa kitandani, nimetumia mbinu mbali mbali lakini sijafanikiwa... Msaada tafadhali
Kama misuli ya kuruhusu ana kuzuia mkojo imelegea hakuna tiba zaidi ya hospital... Maybe operation
 
JAMANI MSAADA
Nina mtoto wa kike ana mwaka na miezi mitatu na nusu lakini hawezi kuita hata neno dada. Yaani hawezi kabisa ila akiona chakula anasema amu amu, pia anasema pipii pipiii . Sasa nikiwa kama mzazi naumia mno, maana watoto waliozaliwa chini yake wanatamka maneno mbalimbali ila yy hawezi.

Kuna muda anatamani kuongea ila anaishia kupiga kelele. Nimemuangalia udata hana kabisa. Kinachonipa wasiwasi kuna shemeji yangu ni mlokole, kasema kaonyeshwa kuwa mwanangu kafungwa kuongea na wachawi eti wamemtupia kitu kifuani ndo kinachomzuia kuongea. Nisaidieni tafadhali wazazi wenzangu, mnajua kuwa mtoto asipokuwa sawa kiafya mzazi huwa anajisikiaje.

NB: MWANANGU ANATEMBEA VIZURI KABISA, ANACHEZA VIZURI , ANASIKIA VIZURI HATAA UKIMUITA KWA SAUTI YA KUNONG'ONA ANASIKIA NA KUBWA ZAIDI ANAELEWA VITU VINGI UKIMUONGELESHA TATIZO NI MOJA HAONGEI.
 
Kabla hujamuamini huyo shemeji yako nashauri kapate ushauri wa daktari bingwa wa watoto
Nijuavyo mimi watoto hawafanani
Kuna wanaowahi kutembea kuna wanaochelewa
Kuna wanaowahi kuongea kuna wanaochelewa nknk
 
Kabla hujamuamini huyo shemeji yako nashauri kapate ushauri wa daktari bingwa wa watoto
Nijuavyo mimi watoto hawafanani
Kuna wanaowahi kutembea kuna wanaochelewa
Kuna wanaowahi kuongea kuna wanaochelewa nknk
Asante kesho nitaenda, maana si kuwehuka huku
 
 
kwa sisi tuliomiji o watoto wetu hawana co nection na maisha halisi tuliyoishki sisi na tunaon kama tuliishki maishka magumu sana kumbe si kweli yale ndo maisha halisi yenye utu, umoja, udugu na uhalisia watoto wetu hawako con ectes na nature wakiona mbuzi wanasema.mbwa wakiona mbwa wanasema simba wanaihopa paka kuku atoto wa mbuzi nk.

Watoto hkawa hawatakuja kuelewa maana halisi ya maisha kwa kuwa wanaishi maishka ya upande mmoja tu mijini, tuwapeleke watoto kw aale ndgu zetu mfano mashangazi wajomba mama wafogo wasio na maisha ya juu kule kijijini watajifunza mambo mengi, kutumia choo cha kulenga hakuna kuoga wala kuambiwa wakalale kuchota maji kuchuma mboga kucheza kwenye kua kali bila viatu na wenzao wataona wenzao hawana viatu watajua kuna watu wanamahitajlli.

Nimepaata fundisho kubwa sana watoto wamekataa kurudi mjini nimelazimika kuongeza likizo ili waendele kukaa na ndugu zao hulo kijijklini wanashinda machungani kucheza wanafundishwa kuwinda ndege wadudu nk KUNA ELIMU KUNWA SANA WANAIPATA WAWAPO KWA NDUGU ZAO WA ORIGIN YAO NA WAKO SO CONNECTED WANAOATA WASAA WAKUKIFUNZA LUGHA ASILI NA ELIMU NA USTADI MWINGINE AMBAO HAUFUNDISHWI DARASANI KWENYE HKAYA MASHULE YETU NA KUNA MENGINE Mshuleni wanafundishwa lakini hakuna pakuyaona Yale sisi wazazi tunayoona ni changamoto kama kukosa majlli vyoo bora milo ya mboga saba na mikaango kumbe si hitaji la watoto wa mijini.

WITO WANGU LIKIZO KWA WALE AMBAO HAWAJAPATA NAFASI TAFADHALI PELEKENI WATOTO KWA NDUGU WA KULE KIJIJINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…