LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
Jiweke karibu,Mimi kijana wangu niliyempata katika umri wa ujana hapendi shule kabisa Yuko darasa la nne. haandiki Wala hakusanyi madaftari kwa walimu,ameshapigwa Ila wapi.najaribu kuangalia tatizo litakiwa Nini maana alikuwa anasoma shule ya mbali nikamhamishia ya karibu Ila shida iko palepale. mitihani anafanya na anapata wastan mzuri Sana najiuliza nimfanyeje aweze kupenda shule.? Ni mbinu gani nitumie ili asome kwa utulivu?
Umempeleka kwa daktari?Naomba msaada jamani mwanangu NI mvivu Sana wa kula. Nahangaika Mimi kuliko hata yeye... Kwa Sasa Anamika sita lakini ulaji wake tangu azaliwe unamashaka Sana... Kama si kula kwa kulazimisha basi atakula hata saa Zima. Naombeni ushauri jamani
Unamlisha vyakula gani? Hili tatizo lina tofautiana kwa watoto lakini sehemu kubwa niliyoona ni kwa sababu ya aina ya chakulaNaomba msaada jamani mwanangu NI mvivu Sana wa kula. Nahangaika Mimi kuliko hata yeye... Kwa Sasa Anamika sita lakini ulaji wake tangu azaliwe unamashaka Sana... Kama si kula kwa kulazimisha basi atakula hata saa Zima. Naombeni ushauri jamani
Ulishampeleka hospitali mara ngapi?Wa kwangu alikuwa hivyo hivyo ila baada ya kumpeleka hospitali sasa hivi huwa analazimisha kula chakula kikiwa jikoni hata kabla hakijaivaNaomba msaada jamani mwanangu NI mvivu Sana wa kula. Nahangaika Mimi kuliko hata yeye... Kwa Sasa Anamika sita lakini ulaji wake tangu azaliwe unamashaka Sana... Kama si kula kwa kulazimisha basi atakula hata saa Zima. Naombeni ushauri jamani
Chakula kikiwa jikoni huwa ananyoosha mkono anasema "Mama omba kula"Duuu
Nimewahi kumpeleka hospitali Mara nyingi maana Sasa Ana miaka sita kwa sasa.kikubwa nilikuwa naapewa multivitamins na vitamin b complex. Chakula anachopenda kwa Sasa NI chips na vitu vikavu vikavu Kama dadaa wa KUKAANGA nyama na samaki... Na vyo anakula kiwango kidogo Sana.Umempeleka kwa daktari?
Anakula vyakula aina gani (hata akila kwa kulazimisha) ?
Hali yake ya afya ikoje, je ana nguvu? Ni mchangamfu au anaonekana amedhoofika?
Wa kwangu alikuwaga hivyo sahivi miaka minane ana unafuu ingawa ni mgumu kula vyakula asivovijua lakini ana favourite zake ndo nampikia pamoja na kumpa vitamin kama ziada.
Nguvu anazo nyingi sana ila ndo hivo, mgumu kula.
Mara nyingi Sana na daktari ninaemkumbuka alinambia nisimlazimishe mpaka ashibe Ila ale vyakula vya muhimu TU.... Hata Kama hajashiba Sana basi.. Ila inaumiza jamani unapika mtoto Hali... Nipeni hizo dawa mlitumiaUlishampeleka hospitali mara ngapi?Wa kwangu alikuwa hivyo hivyo ila baada ya kumpeleka hospitali sasa hivi huwa analazimisha kula chakula kikiwa jikoni hata kabla hakijaiva
Ana miaka sita kwa Sasa Hana mlo wa peke take. Chakula anachokula Mara nyingi n uji asubuhi, chai,mchana wali au ugali, chips au ndizi matunda mbalimbali na mboga za MAJANI. Ninajaribu kubadilisha vyakula Mara nyingi lakin Hali Ile Ile.... N mtoto AMBAE pia anakulantaratibu Sana yaan akianza kutafuna hapo n masaaa.. chakula anachopenda n chips na juiceUnamlisha vyakula gani? Hili tatizo lina tofautiana kwa watoto lakini sehemu kubwa niliyoona ni kwa sababu ya aina ya chakula
Mtafutie watoto wenzie kama wawili hivi wawe wanakula pamoja kwenye sahani moja niliona hii mbinu ilimsaidia mtoto wa kaka yangu.Ana miaka sita kwa Sasa Hana mlo wa peke take. Chakula anachokula Mara nyingi n uji asubuhi, chai,mchana wali au ugali, chips au ndizi matunda mbalimbali na mboga za MAJANI. Ninajaribu kubadilisha vyakula Mara nyingi lakin Hali Ile Ile.... N mtoto AMBAE pia anakulantaratibu Sana yaan akianza kutafuna hapo n masaaa.. chakula anachopenda n chips na juice
Kuna hata watu wazima ni wavivu kula. Jitahidi tu kumpa vyakula anavyopenda hata akila kwa kiasi kidogo huo ndio uwezo wa kula umefika mwisho ingawa wazazi wengi hatutaki kukubaliana na hili swala tunataka ale sahani nzima ukiyomkadilia wewe. Mbinu nyingine awe ni milo zaidi ya mitatu ambayo tumezoea kuwa nayo kwenye familia.Nimewahi kumpeleka hospitali Mara nyingi maana Sasa Ana miaka sita kwa sasa.kikubwa nilikuwa naapewa multivitamins na vitamin b complex. Chakula anachopenda kwa Sasa NI chips na vitu vikavu vikavu Kama dadaa wa KUKAANGA nyama na samaki... Na vyo anakula kiwango kidogo Sana.
Kwa habari ya afya yake SI mbaya saana maana ni mwembamba Sana lakin ngozi nzuri na si mtoto wa kuumwa umwa kabisa..... Kuhusu nguvu anazo nyingi Sana tu anacheza vizuri. Amechangamka na Hana udhoofu wowote.LAKINI KULA YAKE MPAKA ALAZIMISHWE HIVI HIVI ANAKUKA KIDOGO SAAAANA..
Mkuu shkamoo. Njoo unijibu basiDuuu
Saa nyingine madaktari wanashauri ujinga ili tu wakuongeze kwenye log book waonekane wamefanya kazi mishahara iongezeke ........usiwe mwepesi Sana wa kuaminiDaktari alinambia hilo swala la kuwa kibamia sio kweli hasa hasa itamsaidia kupona haraka kuliko hadi awe mkubwa
Hatua ya kwanza mvue nguo zoteMsaada dawa ya degedege kwa mtoto wa miaka minne
kuna mechanism gani itafanyika hapo mkuu?msaada plsKitunguu ni bora sana kwa mtoto mwenye flu...kata kipande mwekee kifuani wakati akiwa amelala
Sent using Jamii Forums mobile app