Kwa waliotazama taarifa ya habari ya saa 2 usiku ITV waliona taarifa ya binti wa miaka kumi na tatu kujinyonga hadi kufa kwa kamba ya pasi. Ilikuwa ni habari ya kusikitisha sana sana hasa kwa sie wenye watoto/ambao tunalea kwa sasa...mbali ya uchungu wa mwana lakini pia gharama kubwa tunazotumia kuwalisha, kuwavisha, kuwasomesha nk lakini zaidi ya yote future iliyokuwa mbele ya binti mdogo Mariam iliishia jana asubuhi alipoamua kuyakatisha maisha yake mwenyewe.
Nikiwa bado katika mshtuko wa taarifa hii, mwandishi alijipenyeza kutaka kujua kisa cha jambo lile...majirani wengine walisema binti alionekana toka juzi hana raha, wengine walidai kulikuwa na hali ya kutoelewana na mzazi wake LAKINI MAMA YAKE ALIYEKUWA ANALIA KWA UCHUNGU ALISISITIZA KWAMBA HAJUI LOLOTE. Hili jibu la Mama mariam ndio sabau ya mie kuweka uzi huu hapa jamii forums.
Ningependa kuwaasa wazazi wenzangu juu ya malezi ya watoto hasa watoto wetu wa utandawazi kujitahidi kuwa karibu na mabinti na vijana kwa karibu sana. Kuwa na tabia mzazi/rafiki at the sametime ili kuepusha sintofahamu kama hizi. Simaanishi kuwa msiba huu unasababishwa na distance kati ya mama na binti yake kwani siwajui wala sijapata taarifa zaidi ya ile ya ITV.
Ila kwa majibu ya haraka haraka yaliyojitokeza pale na reflection yangu ya maisha ya sasa na watoto wetu ambao wako katika ulimwengu uliojaa mambo maovu, EXPOSED NA INFORMATION KILA KONA nina kila sababu ya kuwaasa wazazi wenzangu juu ya umuhimu huu.....UKARIBU NA WATOTO WETU/
Nitaandika maana yangu kwa mfumo wa maswali 2;
1) kwanini kuna umuhimu wa kuwa na rafiki na mtoto wako Ambao tulilelewa tukiwa watoto miaka ya 80 na 90 wengi wetu tunajua ukoloni wa wazazi wetu ulivyokuwa.
Ilikuwa ngumu sana kushare na mama au baba yako mambo fulani fulani (uzazi) hasa ukizingatia kuwa culture yetu hairuhusu.....nakumbuka binafsi hata nilipofika hatua ya kuingia usichana nilitamani mama asijue....hata leo hii naandika mada hii bado distance kubwa ipo kati ya ngu na mama yangu ( baba yangu alifariki), nikipata shida ni heri kumtafuta rafiki yangu kwa simu na kuomba ushauri juu ya mambo yangu lakini sio mzazi wangu.
Kwa vyovyote mahusiano ya mtoto na mzazi yakijaa VITISHO, KUPEANA TAARIFA ZA UONGO, UBABE NA MIPAKA ISIYOYALAZIMA lazima utajikuta humfahamu mtoto wako, hujui anapita kwenye stress zipi, hujui ana mahitaji gani ya kiroho na kimwili.
Ukaribu unasabisha kuzisoma hisia za mwanao kirahizi, kuweza kulinganisha mapito anayopitia sambamba na umri wake na peer pressure inayomzunguka.....ukiwa mkweli na muwazi kwa mtoto toka yupo mdogo ATAKUAMINI, ATAJUA MAMA AU BABA ANA SULUHISHO LA MAMBO YANGU....atategemea peers kwa kiasi fulani na sio 100%.
WAZAZI WENZANGU TUSOME ALAMA ZA NYAKATI...TUWAJENGEE WATOTO WETU CONFIDENSI, WASITUOGOPE SANA, WAWE HURU KUJIELEZA, MZAZI UWE MKWELI AKIKUULIZA ISHU FULANI hata kama ngumu kimila haizungumziki.
KWANI UKIMDANGANYA ATAHAMISHA IMANI YAKE KWA MARAFIKI ZAKE AMBAO WATAMWAMBIA KWELI KWA MFANO 'MTOTO HANUNULIWI HOSPITALINI ILA ANAZALIWA wakati wewe ulimpa desa refu la uongo. Akikusoma katika taarifa nne tano za uongo hata kuamini tena.
HII INAMAANISHA KUMPA MTOTO MAJIBU YA UKWELI KULINGANA HA UMRI WAKE NA SIO MAJIBU YA UONGO. HII INAWEZEKANA NITAFAFANUA NEXT TIME.
ANGALIZO:
Hii haimaanishi kuwadekeza na kuwaendeka kwa kila kitu hapana......UKARIBU, IMANI YA MTOTO WAKO KWAKO NA CONFIDENSI UTAKAYOMJENGEA INAWEZEKAMA PASIPO KUDEKEZANA. NAKIRI HII SIO NJIA PEKEEE YA KUMALIZA ATHARI ZA MATUKIO MABAYA KWA WATOTO HASA KIPINDI CHA EARLY ADOLESENSI ( AGE between 10-13) NA ADOLESENSI YA BAADAE (14 and above) ILA KWA MTAZAMO WANGU HUENDA IKAPUNGUZA MATUKIO HAYA KWA KIASI FULANI IKICHANGIWA NA JITIHADA NYINGINE.
INAWEZEKA MZAZI TIMIZA WAJIBU WAKO MTOTO ASIPOKUELEWA AKAPINDA HYO ITAKUWA JUU YAKE LAKINI WEWE ULI PLAY VEMA YOUR PATI
Swali la 2 ni: How to balance! kuwa mzazi/rafiki/mshauri kwa watoto wetu? hii siku nyingine wapendwa.
Nakubali kukosolewa ili nijifunze zaidi
Mix with yours