Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,740
- 8,751
Habari wanajamvi.
Hebu leo tufanye mahojiano na hawa wazee maarufu, yani wazee wa mawe aka wazee wa ndogo aka wachimba mitaro wana aka nyingi kwa kuzitaja chache. Hebu tuambiee siku ya kwanz kula/kuliwa mawe ilikuaje yaani nini kisabibishi cha wewe kufanya hivyo. Je baada ya hapo uliendelea au uliacha? Na kama unaendelea je umefikiria kuacha kutokana na hasara zake? Je wewe unaushauri gani kwa jamii kutokana na kadhia hii? Karibuni wadau tujaliane kwa kuzingatia maadili ya jukwaa, mihemko tupa kule