Mkuu ahsante kwa maelezo ila naona kama haujaelezea ipasavyo shorinji kempo ipo na inatumika sana japan tofauti na china shaolin kung fu sasa nilihitaji kujua labda utofauti ni upi kati ya shorinji na field nyengine na karate ARIGATOSidhani kama inaitwa Shorinji kenpo,nadhani inaitwa "Shaolin kempo" hii ni moja ya staili za Kichina za Kung Fu,Okinawa ni Kisiwa kimojawapo huko Japan ambapo ndiko ilikovumbuliwa staili ya mapigano, mojawapo ni Goju Ryu Karate,Shotokan karate ni aina nyingine ya staili ya mapambano,nadhani hii inatoka maeneo mengine ya Japan.Lakini haina maana kuwa kila mahala inapovumbuliwa staili fulani lazima waite jina la mahala hapo.Lakini zote ni staili za kujilnda kwa mikono mitupu yaani KARATE. karate ni neno la kijapani likimaanisha kujilinda kwa mikon mitupu yaani bila silaha,ingawa silaha za jadi zilikuja kutumika baadae.
Okay mkuu ni kweli Shorinji Kempo ipo na ni aina ya Karate ime orijineti huko Japani. Tofauti iliyopo ni namna ya kuicheza tu na namna ya kupiga targets zako na stensi zinatofautianaMkuu ahsante kwa maelezo ila naona kama haujaelezea ipasavyo shorinji kempo ipo na inatumika sana japan tofauti na china shaolin kung fu sasa nilihitaji kujua labda utofauti ni upi kati ya shorinji na field nyengine na karate ARIGATO
Hujachelewa Mkuu maana hii sanaa ni kama mtindo wa maisha unajifunza maisha yako yote kadiri unavyojifunza ndivyo unavyokua hatari zaidi yani kama nyoka....nyoka mzee ndio mwenye sumu kali..Napenda sana hii tasnia ya mapigano bila kusahau gymnastics and acrobatics hapa mtu unakua active na makini kwa asilimia zote.
nitakiweka mkuu cha united satate army field manual hand to hand combat!!mkuu tupia hicho kitabu watu tuchimbe na kujifunza manake kwa political atmosphere ya bongo haya mambo ni muhimu kuyajua
Jeet kun do mwanzilishi wake ni hayati bruce lee,SENSEI ni kijapani kwa ki English ni master na kichina ni SHIVO na SENPAI ni mwanafunzi kiongozi na anaefata anaitwa KOHAI,Kuna hii jeet kon do ,nimewahi kusikia
Niulize sensei na sempai nani mkali ?
Shukrani mkuuJeet kun do mwanzilishi wake ni hayati bruce lee,SENSEI ni kijapani kwa ki English ni master na kichina ni SHIVO na SENPAI ni mwanafunzi kiongozi na anaefata anaitwa KOHAI,
Kwahiyo mkuu vile tunavyoona kwenye movies Jet Lee anachakaza zaidi ya watu 30 inawezekana kweli in reality?!!Okay mkuu ni kweli Shorinji Kempo ipo na ni aina ya Karate ime orijineti huko Japani. Tofauti iliyopo ni namna ya kuicheza tu na namna ya kupiga targets zako na stensi zinatofautiana
ila mkuu nikwambie pia KARATE kwa namna nyepesi ni kama dini ya kikristu ina madhehebu kibao na kila dhehebu lina namna yake ya kusali ila lengo ni kumuomba Mungu mmoja. sasa KARATE inagawanyika kuna
Shotokani
Gujuruu
Shorinji kempo
Kurenai karate
Okinawa Karate
n.k ila miimi naipenda Shorinji Kempo maana ni nzuri sana na hata mzee wa miaka 50 anaweza ku adopt tecs zake vizuri tu sio ngumu kama gujuruu au Shotokani.
na tofauti zao ni ktk kucheza stensi zake mfano ngumi za juu (Jordan Nzuki) anavyo kaa mtu wa Gujuruu au wa Shotokani au wa Shorinji ni tofauti kabisaa hawafanani japo wote wana lenga kupiga sehemu moja iwe stationary au anatembea.
Ila ba alao ni kungfu jamani ni ngumu ila ni nzuri hata kiakili mfano Tai chi inakufanya ujitambue zaidi pia kumbuka kungfu inakuwa nzuri kuliko hiz ni kwa sababu ya spidi. hawa jamaa wanatuzidi spidi na accuracy ktk mapigo yao na hizi spidi zinategemeana na nini anafanya ila mostly wana spidi kubwa sana ni mara mbili ya nyoka aina ya cobra anapostrike adui wake.
mchezo mwingine unaitwa Taikwondo huu pia ni mzuri hasa katika mateke japo mchezaji wa mchezo unaoitwa MUATHAI aliyebobea anakuwa na mateke mazuri sana. (Yana nguvu sana)
NINJA ni very dangerious kwa sababu its higly deadly na huyu jamaa (NINJA) anawazidi wenzie in terms of balance. Ninja wana balance kubwa sana sana na wana stamina sana na hata wao mapigo yao ni tofauti sana na pia wanapenda kucheza na weak parts za mwili teena zenye madhara ambayo huwez temegemea. Hawa wameiba spidi toka kwa Kungfu maana hata historia yao wamezaliwa toka katika dark kungfu techniques.
JUDO ni nzuri ila the best kuna kitu kinaitwa AIKIDO (Hii hata Ninja huitumia anapokuwa katika mapigano ya msongamano wa watu wengi) jamani hii taaluma ni hatarii kuliko neno lenyewe hatarii ukimpata mtu anaeijua hata mje 20 mtakaa tu tena kwa maumivu makali saana