Kwa waziri ezekiel maige.

Kwa waziri ezekiel maige.

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
1,222
Reaction score
776
Habari za kazi Mkubwa na pia pole na majukumu.
Mimi ni mdau wa utalii kwa mwaka wa kumi na tano sasa, nimekuwa niki deal sana na taasisi zako muhimu kama TANAPA, NCAA, TTB na nyinginezo.

Nafahamu kwamba makao makuu ya TANAPA na NCAA yako Arusha. Nimeshuhudia mara nyingi sana wakurugenzi wako wa mashirika haya wakiwa wanasafiri mara kwa mara kuja wizarani Dar. I am getting the feeling that we are spending a lot of money in transport, accommodation, meals and other logistics. Mashirika hayo yote yana wakurugenzi sio chini ya wa 5 nje ya HOD's. Hivi kwa mwaka ni kiasi gani kinatumika kwa safari?

Na pia uzoefu unaonyesha board members wengi huwa wanaishi Dar hivyo nao pia ina tu cost wanapokuja huku Arusha. Mfano mzee Msekwa wa NCAA au Bwana Lilungu wa TANAPA.

Ningeshauri huku Arusha kungekuwa na ofisi ndogo kwa ajili ya coordination baina wa HQ na field!!!
Nina amini kila siku kuna maofisa wanaosafiri kwenda wizarani.
 
Back
Top Bottom