Mia saba
JF-Expert Member
- Mar 4, 2022
- 255
- 390
Nimejikusanya kiasi cha kupata laki nane, kazi kibarua (dayworker) kwa sasa nimeona kujiajiri ni vena Sana.
Sasa nauliza je kwa ongezeko kubwa la vibanda vya mobile money je itafaa kupambana hapo kukuza mtaji Kama kujiajiri.
Je, laki nane ikizunguka vizuri inaweza toa faida Bei gani kwa mwezi?
#Natanguliza shukran