Laki nane yote unataka kuweka kwenye laini gani ?Laki nane inaweza toa Bei gani kea uzoefu wako?
location nipo barabarani
ShukranTatizo lako unawaza zaidi faidi kuliko huduma
Biashara ya miamala nowadays utapoteza pesa coz hata mtaji wako ni mdogo
Tafta sehemu yenye mkusanyiko wa watu tafta mama ntilie anaepika msosi wewe fungua biashara hapohapo ya kuuza supu ya mbuzi na nyama choma hapo utatumia km laki 4 tu kwa kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Zaidi ya kumuwekea wakala mwenzako flot hakuna muamala ambao hauna faidaKatika biashara ya mtandao kutoa yaani kuwa na keshi mteja akija kuna faida kuliko kuweka kumbuka pia kuna miamala hewa ambayo unaweza mfanyia mtu haina faida nina mengi ya kukwambia sema si muandishi mzuri.
Mawakala wajanja siku hizi ndio wanapiga hela kushinda hata zamani kama hujui kaa kimyaHiyo biashara ilikuwa zamani, siku hizi ni bure kabisa
Nakushauri fanya jambo jingine maana hutapata faida hata ya laki kwa mwezi
Miamala ya kimaskini ndo ipi hio??mkuu tafuta sehemu wanakofanya vimiamala vya kimaskini maskini tulia hapo ikiwezekana tafuta ile line ya LIPA
Uko mkoa gani? Una interest ipi katika kujiajiri huko ? Je uwakala unatoka moyoni au unafuata faida? Nipe jibu nikushauri.Nimejikusanya kiasi cha kupata laki nane, kazi kibarua (dayworker) kwa sasa nimeona kujiajiri ni vena Sana.
Sasa nauliza je kwa ongezeko kubwa la vibanda vya mobile money je itafaa kupambana hapo kukuza mtaji Kama kujiajiri.
Je, laki nane ikizunguka vizuri inaweza toa faida Bei gani kwa mwezi?
#Natanguliza shukran
Mwanza wilaya ya ilemelaUko mkoa gani? Una interest ipi katika kujiajiri huko ? Je uwakala unatoka moyoni au unafuata faida? Nipe jibu nikushauri.
Sisi wengine huko kote tulipita those blessings days kabla mambo hayajawa mambo.
Bila shaka shaka yawezekana hiyo hela yako ndiyo hela ya kukufanya uendelee kusurvive hapo mjini , Ni hivi ndugu ingia sokoni ulizia utaratibu wa kulangua samaki kutoka kisiwa cha ukerewe then kwa siku kadhaa jaribu kutengeneza wateja, kupitia promotion ya bei zako ili upate wateja wa haraka .Mwanza wilaya ya ilemela
Interest kujiajiri Zaid
Kuwa na empire yenye nguvu
Shukran mkuuBila shaka shaka yawezekana hiyo hela yako ndiyo hela ya kukufanya uendelee kusurvive hapo mjini , Ni hivi ndugu ingia sokoni ulizia utaratibu wa kulangua samaki kutoka kisiwa cha ukerewe then kwa siku kadhaa jaribu kutengeneza wateja, kupitia promotion ya bei zako ili upate wateja wa haraka .
Hiyo ni biashara nadhani itakusaidia zaidi baadaye ndiyo fanya huo uwakala kwa mtaji huo na hayo maeneo utakula mtaji wote .
Ukiona hiyo huwezi , nenda stendi kuu kuna wamama wanapika vyakula ila hawana mitaji ya kutosha na hawana vibanda sitahimilivu , ongea na mmoja wao akuuzie eneo lake, upajenge hata kwa mbao lakini katika uzuri wa watu wa stendi kuwa huru kula , alafu muajiri huyo mmama ili upate wateja zaidi maan yeye ni mwenyeji hapo , ila usimkabidhi biashara kuwa muhusika mkuu kwa kila jambo since asubuhi mpaka mnapofunga .
Ushauri tu.
TEKERI.