Moja ya msemo ni "Leta hela hiyo nikuuzie japo kwa bei ya hasara maana sijauza tangu asubuhi" Hapo umepigwa😂😂😂Wafanya biashara wana mbinu zao za kuwavuta na kuwauzia wateja bidhaa kwa bei ambazo si halisi na kubwa zaidi ila wanajifanya kama vile hawapati faida hata kidogo au wanatoa huduma tu ili nao waonekane wameuza au wakati mwingine hata kuuza kwa hasara japo huwa wanatupiga.
Moja ya msemo ni "Leta hela hiyo nikuuzie japo kwa bei ya hasara maana sijauza tangu asubuhi" Hapo umepigwa.
Wewe huwa ukisikia msemo gai unajua hapa nimepigwa au kapigwa?
Biashara nyingi bongo zina element ya utapeliWafanya biashara wana mbinu zao za kuwavuta na kuwauzia wateja bidhaa kwa bei ambazo si halisi na kubwa zaidi ila wanajifanya kama vile hawapati faida hata kidogo au wanatoa huduma tu ili nao waonekane wameuza au wakati mwingine hata kuuza kwa hasara japo huwa wanatupiga.
Moja ya msemo ni "Leta hela hiyo nikuuzie japo kwa bei ya hasara maana sijauza tangu asubuhi" Hapo umepigwa.
Wewe huwa ukisikia msemo gai unajua hapa nimepigwa au kapigwa?
"Ahhh basi lipia hiohio tu nikutunze mteja"Wafanya biashara wana mbinu zao za kuwavuta na kuwauzia wateja bidhaa kwa bei ambazo si halisi na kubwa zaidi ila wanajifanya kama vile hawapati faida hata kidogo au wanatoa huduma tu ili nao waonekane wameuza au wakati mwingine hata kuuza kwa hasara japo huwa wanatupiga.
Moja ya msemo ni "Leta hela hiyo nikuuzie japo kwa bei ya hasara maana sijauza tangu asubuhi" Hapo umepigwa.
Wewe huwa ukisikia msemo gai unajua hapa nimepigwa au kapigwa?