Kwa wazoefu wa Tv.. Msaada juu ya skyworth smart tv

Nashukuruni wote mliotoa mawazo yenu mbalimbali..ila mwisho wa aiku niliamua kujiongeza na kuchukua mzigo..

Kwa kifupi tv ipo fresh sana tu.. Muonekano mzuri, pictures quality ipo fresh na performance yake so far inavutia.. Vitu vingine vyote vipo kama inavyoonesha hapo juu kwenye specifications zake.. Saiz nakula burudani tu.. Hapo nilipochukua naona wamepandisha na bei yake saiz.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee baba hiii miherufi
 
Ninachojua kujua ubora wa picha ni jambo gumu sana atleast uwe expart[emoji16][emoji16][emoji119] kuna jamaa ana Mr UK alikuwa anasifia picha bora siku nikaenda kuiona ...dah. ingawa kwa macho ya kawaida picha ni nzuri
 
Ilinikuta situation Kama hio kwa star X, tv ipo usawa wa kiuno ukisimama tu quality umeanza kudrop.
 
Mimi nimenunua sky worth 40 inch HD smart tv tangu mwezi wa 4 na enjoy iko vizuri sana sound yake. Muonekano wa picha iko clear kwa kweli sijajuta na inasemekana katika brand za china kwa hapa bongo zinauzika sana nilinunua kwa 750k iko vzuri kwa kweli
 
Picha iko clear uki compare na ipi?
 
Picha iko clear uki compare na ipi?
Mtazunguka wee....Ila Samsung Hana mpinzani kwenye quality ya picha ...hapa nazungumzia Samsung za U.K sio hz za siku hz zinazotokea china

One love
 
kwa elimu yangu ndogo nachangia ivii
ukikosa brand izi SONY, LG, SAMSUNG kwa sababu ya budget labda au sababu zingine dondokea Hissense au Tcl.
Kwa risk takers ambao mnataka kua na tv tu yoyote singsung, sansan, homebase, pinetech na zinginezo zinawafaa
 
Haikua yangu, MI tv yangu ni Hisense mkuu inch 55 sema situmii Vidaa ina Firestick (Android) ndio natumia kupata apps.
Mkuu unaweza kuniandikia baadhi ya tv ambazo naweza kupata apps bila kutumia firestick
 
Mkuu unaweza kuniandikia baadhi ya tv ambazo naweza kupata apps bila kutumia firestick
Smart tv zote zina apps sema hapa nilimaanisha android apps maana ndio rahisi kupata contents kama movie, kuangalia mpira etc.

TV zenye Android ni kama TCL, Sony, philips, Hisense (baadhi nyingi zina vidaa) Mewe na wachina wengine wengi.
 
Haikua yangu, MI tv yangu ni Hisense mkuu inch 55 sema situmii Vidaa ina Firestick (Android) ndio natumia kupata apps.
Firestick brand gani unatumia mkuu ? Na bongo zinapatikana na duka gani kama hutojali natafuta sana sema sijajua aina ipi ni nzuri?
 
Firestick brand gani unatumia mkuu ? Na bongo zinapatikana na duka gani kama hutojali natafuta sana sema sijajua aina ipi ni nzuri?
Yangu nilinunua muda na Firestick official hazipo huku.
. Kuipata unasubiria sale Amazon ama woot then unatumia parcel forwarder kuleta Tanzania.

Zipo za Full HD na 4K inategemea na wewe matumizi yako.

Pia sio lazima Firestick kuna stick nyingi tu kama Google Chromecast ya Android, Xiaomi wana stick, Realme etc.
 
Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…