Job Richard JF-Expert Member Joined Feb 8, 2013 Posts 3,876 Reaction score 2,190 Feb 13, 2017 Thread starter #21 abd-rashid nkando said: Inalipa tena Kwa mda mfupi kama utaendesha we mwenyew kuliko kumpa Mtu, Click to expand... hii point nzuri japo wale tunaojiongeza kibiashara kuendesha mwenyewe ni vigumu sana hasa kujigawanya
abd-rashid nkando said: Inalipa tena Kwa mda mfupi kama utaendesha we mwenyew kuliko kumpa Mtu, Click to expand... hii point nzuri japo wale tunaojiongeza kibiashara kuendesha mwenyewe ni vigumu sana hasa kujigawanya
H homomorphism Member Joined Feb 12, 2017 Posts 66 Reaction score 63 Feb 13, 2017 #22 THE RICHARDS said: hii point nzuri japo wale tunaojiongeza kibiashara kuendesha mwenyewe ni vigumu sana hasa kujigawanya Click to expand... Kivipi mkubwa, naomba unifafanulie tafadhari
THE RICHARDS said: hii point nzuri japo wale tunaojiongeza kibiashara kuendesha mwenyewe ni vigumu sana hasa kujigawanya Click to expand... Kivipi mkubwa, naomba unifafanulie tafadhari
Job Richard JF-Expert Member Joined Feb 8, 2013 Posts 3,876 Reaction score 2,190 Feb 13, 2017 Thread starter #23 homomorphism said: Kivipi mkubwa, naomba unifafanulie tafadhari Click to expand... Nilimaanisha muda mkuu labda utegemee biashara moja nilichukua TVs nimempa kijana naenda nae vizuri thanks kwa wote walionipa mawazo mazuri tupo pamoja
homomorphism said: Kivipi mkubwa, naomba unifafanulie tafadhari Click to expand... Nilimaanisha muda mkuu labda utegemee biashara moja nilichukua TVs nimempa kijana naenda nae vizuri thanks kwa wote walionipa mawazo mazuri tupo pamoja
H homomorphism Member Joined Feb 12, 2017 Posts 66 Reaction score 63 Feb 13, 2017 #24 THE RICHARDS said: Nilimaanisha muda mkuu labda utegemee biashara moja nilichukua TVs nimempa kijana naenda nae vizuri thanks kwa wote walionipa mawazo mazuri tupo pamoja Click to expand... Amna noma, ntapiga tu.
THE RICHARDS said: Nilimaanisha muda mkuu labda utegemee biashara moja nilichukua TVs nimempa kijana naenda nae vizuri thanks kwa wote walionipa mawazo mazuri tupo pamoja Click to expand... Amna noma, ntapiga tu.
Job Richard JF-Expert Member Joined Feb 8, 2013 Posts 3,876 Reaction score 2,190 Feb 13, 2017 Thread starter #25 homomorphism said: Amna noma, ntapiga tu. Click to expand... Kweli mkuu hizi biashara ni kujitoa ukiona mizinguo ingia mwenyewe kikubwa pesa ipatikane
homomorphism said: Amna noma, ntapiga tu. Click to expand... Kweli mkuu hizi biashara ni kujitoa ukiona mizinguo ingia mwenyewe kikubwa pesa ipatikane