Kwa wenye experience na gari za Jeep

View attachment 1717193

Kuna Jeep inatumia gearbox Oil ya ATF+4. Je ni wapi kwa hapa Dar wanaweza kuwa wanauza hiyo Oil?

Natanguliza shukrani.
Agiza Online mkuu, sindio mnavyofunganaga Mota humu😂😂😂 oh spea zipo kila mahali sikuhizi msituchoshe na maswali ya kipuuzi😂!

Tafuta spear online maana mkiambiwaga Toyota ndio gari rafiki hapa kwetu mnakazaga ubongo. Ingekuwa Prado usingemaliza maduka ma3 ushapata unachotafuta.
 
Alaa Wanasema eti dunia ipo kiganjani 🌎
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nacheka tuu comment yako [emoji23][emoji23][emoji23] ila umempiga sana kwenye mshono, utafumuka.. msaidie link za online[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nacheka tuu comment yako [emoji23][emoji23][emoji23] ila umempiga sana kwenye mshono, utafumuka.. msaidie link za online[emoji23][emoji23]
Swala ni moja tu kubwa aagize online
 
Acha ujinga prado ni za madem🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…