cariha JF-Expert Member Joined Apr 9, 2015 Posts 22,077 Reaction score 46,549 Jun 25, 2020 #21 Victoire said: Mimi dawa siweki kabisa. Nabana mchicha na ninatumia products za Cantu za natural hair. Wanakati mwingine napaka castor oil au Alovela oil. Click to expand... Mimi sipendi kuweka dawa Ila Sina namna maana nywele kuchana zinanitoa machozi mie nikaona Bora tu niweke dawa Sasa hivi ziko mgongoni, na ninatumia shapoo ya olive, na steaming ya beckon naweka kila week
Victoire said: Mimi dawa siweki kabisa. Nabana mchicha na ninatumia products za Cantu za natural hair. Wanakati mwingine napaka castor oil au Alovela oil. Click to expand... Mimi sipendi kuweka dawa Ila Sina namna maana nywele kuchana zinanitoa machozi mie nikaona Bora tu niweke dawa Sasa hivi ziko mgongoni, na ninatumia shapoo ya olive, na steaming ya beckon naweka kila week
M melissaazevedo Member Joined Jun 11, 2020 Posts 13 Reaction score 12 Jun 26, 2020 #22 Binafsi, napenda kukata nywele fupi. Walakini, nywele zangu kawaida hukua haraka. Ninaifanya iwe haraka zaidi na mafuta tamu ya mlozi.
Binafsi, napenda kukata nywele fupi. Walakini, nywele zangu kawaida hukua haraka. Ninaifanya iwe haraka zaidi na mafuta tamu ya mlozi.