Kwa wenye magari na ambao wamepata tatizo la kuvunjika vioo, yaani cracks. Je, umeishawahi kununua zile dawa za kuondoa cracks na je zinafanya kazi vizuri?
Kuna matangazo mengi sana humo facebook na instagram yanayoo yesha kuwa kuna hizo mambo zinazoweza ondoa cracks, nazihitaji sana nizibe crack kwenye wind screen yangu, nimechoka na fine za traffic police.
Tupeane mchongo zinapatikana wapi hapa bongo na bei yake.
Mimi najua zipo dawa za kuondoa mikwaruzo Kwenye body na vioo pia lakini hiyo ya kuondoa crack sidhani kama itafanya KAZI maana kioo kikishapasuka inakuwa ngumu kuziba....
Kama vipi funika hizo crack Kwa stika maalumu kwaajili hiyo