kwa wenye mawazo ya kununua kazi...

kwa wenye mawazo ya kununua kazi...

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
wakuu najua ugumu wa kupata kazi ulivyo. Hata huko kununua kazi si lelemama, hiki kiasi kidogo tulichonacho tunaweza kuunganisha na kupata mtaji. Tuna project tunaifanya, mpaka sasa tupo watatu....tumekwama kwenye mtaji....ni kazi inayohitaji committment na kujituma, for more details nipm. NB: tunahitaji watu watatu zaidi, ili tuwe 6.
 
Yaani wewe mbabaishaji kabisa,kuwa wazi bwana project ya nature ipi? Afu unaonekana unaendekeza sana chini hiyo project itaendelea?
 
Yaani wewe mbabaishaji kabisa,kuwa wazi bwana project ya nature ipi? Afu unaonekana unaendekeza sana chini hiyo project itaendelea?

wabongo ndo maana hatusongi mbele, pole najua hayo ndiyo yaliyokujaa.
 
Mkuu transparency is the name of the game....

Ukiweka mambo wazi utapata feedback negative na positive na watu ambao walikuwa labda hawataki kujiunga watataka na mwisho wa siku utapata shortlist ndefu zaidi (ya interested parties) hivyo utaweza kuchagua the best of the bunch
 
yap! kip it up, uckubali mtu akukatishe tamaa, wengine tulitoka kwa style kama hiyo na tukaweza kuajiri na wengine
 
Back
Top Bottom