Kwa wenye sehemu za Starehe.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,273
Reaction score
13,567
Wadau habari zenu.?

Baada ya utafiti wa kwenda sehemu nyingi za starehe na burudani,nikaja kugundua kuna umuhimu wa sehemu hizo kuwa na WIRELESS INTERNET CONNECTION,hivyo basi nachukua nafasi hii kuwaalika wamiliki/mameneja wote wa BAR,RESTAURANT,CLUB ZA MUSIC,KUMBI ZA SHEREHE,NK.Kuwasiliana nami kwa jili ya kupata kuunganishiwa huduma hiyo muhimu kwa wateja wenu.

Gharama zake ni 250,000 (Ikijumlisha vifaa na unlimited Internet ya mwezi mmoja) baada ya hapo utakuwa unalipia 50,000/= kwa mwezi kwa ajili ya kununua Intenet bundle ya Unlimited.

Kama unahitaji huduma hiyo niPM au nipigie 0713260027 | 0787140432.

Niko Arusha,ila naweza kwenda na sehemu nyingine ikiwa utakuwa tayari kulipia gharama za usafiri.

Asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…