Kwa wenye tatizo la nguvu za kiume dawa ipo

SHADRACK LUTOBECK

Senior Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
129
Reaction score
18
Kwa mnaosumbuliwa na tatzo la upungufu wa nguvu za kiume sasa basi,ninadawa ya asili inayotibu na kuondoa tatizo hilo kabisa,Ni dawa nzuri sana inayotibu na kuongeza kunguvu za kiume,ni dawa inayoleta msisimko wa ajabu ndani ya mwili na kuufanya mwili uwe na nguvu za kutosha,uume ukisimama ni kama misiri ya msumari!kama raundi utapiga za kutosha tena kwa muda wa kutosha,dozi yake ni kwa mda wa wiki mbili(2)tu unakuwa ukosafi kabisa,ndani ya sikumbili ukianza kutumia dawa hii utakuwa na mabadiliko makubwa mno,hata kama ulikuwa unafika kirereni haraka hiyo hali itaisha utakuwa safi kabisa,dawa hii ni kiboko.kama unasumbuliwa na tatizohilo na unaitaji dawa nitafute 0759217720.
 
Dah! Hata kama nina madeni, watoto wamefukuzwa shule hamna school fees, baba mwenye nyumba anatishia kunitimua anadai kodi yake, wife anazingua na matatizo kibao!
 
wacha bwana.....kuna ya kuongeza size ya mtulinga iwe ndefu kama treni ya mwakyembe?
 
Jamani huyu anayo ila Mimi nimekwenda kwa Mzee mmoja yuko Tegeta wazo akanipa hiyo dawa no nzuri siwezi simlia ila Kama Luna mtu anataka namba ya huyu Mzee hii hapa ampigie aende 0656007439 anaitwa Mzee zumo
Ebu jaribuni kwa huyu m
 
embu fafanua kidogo hiyo dawa ya mzee zumo
 
Wewe ndugu SHADRACK LUTOBECK,

Mimi mnazidi kunichanganya tu nyie waganga. Nimetumia dawa za watu wengi mno wenye ahadi kama hizi zako lakini hakuna chochote. Sikupata nafuu. Mpaka hadi wengine nimeamua kuwadai wanirudishie pesa yangu. Tatizo ni kuwa kila mganga anadai kuwa dawa yangu ni super, lakini ukitumia hakuna chochote inakuwa geresha na hela ishaliwa. Kwa kweli inasikitisha. Jamani mtuhurumie hata kama mnatafuta pesa...

Saana Tu
u
 
Wewe zamlock,

Ebu tueleze tatizo lako lilikuwa ni nini haswaaa mpaka uisifie iyo dawa ya Mzee Zumo.

Saana Tu

Jamani huyu anayo ila Mimi nimekwenda kwa Mzee mmoja yuko Tegeta wazo akanipa hiyo dawa no nzuri siwezi simlia ila Kama Luna mtu anataka namba ya huyu Mzee hii hapa ampigie aende 0656007439 anaitwa Mzee zumo
Ebu jaribuni kwa huyu m
 
kama malipo baada ya tiba, mi nitatumia hizo dawa zenu , wewe na mzee Zuma siwaamini
 
Dawa yangu ni dawa kiboko kwa tatzo la nguvu za kiume,pia namruhusu mtu kutoa pesa nusu anatumia dawa akimaliza dozi anatuma pesa iliyobaki!Watu wengi huwa nawahakikishia kwa njia hii na huwa wanatuma pesa zilizo baki maana dawa zangu ni kibo naziamin.
 
Jamani mi nashindwa kumuelewa huyu ZAMLOCK ni kitugani anachotafuta kwenye uzi wangu?kamb alikuwa anamjua huyo mzee kwa nini alishindwa kuandika uzi?Tabia hii huwa ni mbayasana kwa mtu aliyonayo aiache.
 
Conflict of interest, huyo jamaa anakuharibia soko tu, ukilisoma jina lake vizuri na huyo mzee anaesema ana dawa za nguvu za kiume yanafana, kwahiyo hapo ndio mwenyewe anaficha utambulisho wake tu.
 
watu sasa iv wamegundua kuwa ni dili wanachukua mitishamba ya kubahatisha tu wanapiga ela. kwa kifupi 90% ya wauza dawa za nguvu za kiume ni feki. mm nimetapeliwa sana na hawa jamaa kuanzia wamasai nk
 
upo sahihi kabisa mkuu. na kuna baadhi yao wanasaga Viagra wanachanganya na unga wa vumbi la mbao au masizi. Ukitumia siku ya kwanza kweli unaona mabadiliko, kumbe umebugia Viagra bila kujua. utapeli mtupu apa mjini. Tuweni makini sana jamani na hizi tiba za urijali.
 
Hello MZAWA JF,

Aisee kuwa makini saana usizidi kutapeliwa. mjini hakuna mitishamba, kuna matapeli wanaojiita Waganga. Hata humu JF wamo. Mimi nimeamua kuwadai wanirudishie chenji yangu. Na lazima kieleweke tu..

Saana Tu
watu sasa iv wamegundua kuwa ni dili wanachukua mitishamba ya kubahatisha tu wanapiga ela. kwa kifupi 90% ya wauza dawa za nguvu za kiume ni feki. mm nimetapeliwa sana na hawa jamaa kuanzia wamasai nk
 
Wakuu mtu yeyote ambaye yuko serious anatafuta dawa za miti shamba kwanza lazima upate dawa ya kuharisha malendamalenda.mwanamme yeyote asiepata choo vizuri nguvu lazima iwe ZIRO,Acheni kula vyakula vya baridi,vyakula vya makopo,nyama yenye mafuta,ugali uliokobolewa,muwe mnatibu minyoo kwani nayo huvuruga nguvu za ikulu.Namjua mzee flani yuko Kihurio kwa wapare yeye ana dawa na sio ya kubahatisha na watu wanaenda na magari toka mijini hadi kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…