Kwa wenye uelewa kuhusu/au mnaosoma I.T

Christafari

Senior Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
117
Reaction score
13
nimechaguliwa busines comunication and it <muccobs>, nilisoma hge bam nina f. . Cjui chochote kuhusu it naomba msaada kuhusu masomo ya i.t :- mathematics inayosomwa, soko la ajira yake, mshahara wa i.t. .na mengineyo. Thanx
 
Kwa upande wa I.T. nadhani utapata shida hasa kwenye kipengele cha programming maana ndo hua kigumu kuliko vyote ktk I.T. ila kama ulisoma bam haijalishi umepata f ama vipi ili mradi tu ulikua unazielewa hesabu za bam ila kama ulikua huelewi hapo anza kujifua.
 
Wewe ungependa ufanye kazi gani? Hata hivyo ukiwa na mawazo ya kusoma course eti kisa ina mshahara mnzuri utachemka maana ajira zenyewe siku hizi ni tatizo. Ni vema ukaangalia kozi ambazo unaweza kujiajiri endapo ukishindikana kuajiriwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…