Kwa wenye uelewa wa hili humu jf tafadhali jibu hili swali!

Kwa wenye uelewa wa hili humu jf tafadhali jibu hili swali!

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
Wana jf mim nna kaswali kangu kadogo ivii kiwango cha mwisho cha elimu ni kipi u profesa au kuna zaidi ya hapo plz nijib
 
kwa mantiki hiyo mtu akiwa profesa ndo mwisho wa elimu?by mpigamsuli
 
Wana jf mim nna kaswali kangu kadogo ivii kiwango cha mwisho cha elimu ni kipi u profesa au kuna zaidi ya hapo plz nijib

labda unauliza ki mantik ip maana nazan ushackia kua elim haina mwisho ama!
 
•Elimu haina mwisho wala kiwango,unaweza ukawa proffesor kumbe wa kiswahili au wa mitishamba lakini ni Proffesor!
•Soma sana kuongeza ufahamu hao wanaojihita maproffesor sijawahi ona wakitengeza au kutoa idea ya uvumbuzi,Tuna wataalamu wa nuclear hapa nchin wapo kwenye levo za u-doctor tuna uranium lkn still umeme mgogoro wameshindwa hata kutengeneza kibatali,usiogope title hayo ni majina hata kwenye kanga yapo! Haijalishi wewe una title gani bali una mchango gani kwenye jamii? Una taarifa kwamba hao ma Dr na Ma Pro ndio wanaloliingiza taifa motoni?
 
Back
Top Bottom