Elimu haina mwisho wala kiwango,unaweza ukawa proffesor kumbe wa kiswahili au wa mitishamba lakini ni Proffesor!
Soma sana kuongeza ufahamu hao wanaojihita maproffesor sijawahi ona wakitengeza au kutoa idea ya uvumbuzi,Tuna wataalamu wa nuclear hapa nchin wapo kwenye levo za u-doctor tuna uranium lkn still umeme mgogoro wameshindwa hata kutengeneza kibatali,usiogope title hayo ni majina hata kwenye kanga yapo! Haijalishi wewe una title gani bali una mchango gani kwenye jamii? Una taarifa kwamba hao ma Dr na Ma Pro ndio wanaloliingiza taifa motoni?