Professor ni cheo siyo kiwango cha elimu; Kiwango cha mwisho cha elimu ni Doctor of e.g sience or art or law etc. Doctor of e.g. science (DSc) ni kwa watu walio na PhD (doctor of philosopy) na ambao baada ya kuitumikia hiyo degree yao (PhD)kwa miaka fulani say X wameonyesha weledi/elimu ya hali ya juu katika fani waaliyosomea wakati wa PhD. Ili upate DSc lazima upeleka maombi yako na kazi zako ulizofanya chuo kikuu tarajiwa ambacho kitateua watu maprofesa miongoni mwao na hata vyuo vingine ili kuevaluate hizo kazi zako na kurecommend kwenye senate kama unafaa kupewa DSc.
Kuhusu Professor: hiki ni cheo cha mwisho kwa wahadhiri wa vyuo vikuu. Kwa mafano US cheo cha kuanzia kwa mwalimu wa chuo kikuu ni Assistant Professor, follwed by Associate Professor and finally full Professor. Kwa Tanzania cheo cha kuanzia kwa wanataluma wa vyuo vikuu ni Tutorial Assistant, Assistant Lecturer, Lecturer, senior lecturer, associate professor, full Professor. Kwa kawaida kutoka cheo kimoja mpaka cheo kingine ni miaka mitatu.