Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
seen....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uwe na bachelor degree yoyote ile utafit kusoma
mkuu mwaka wa bachelor ambao ni wa mwisho nina mpango wa kutokuusoma. Hivyo basi naishia higher diploma, kwa mujibu wa score za nacte. Hapo ndipo najiuliza kama itawzekana?
Kwanini usimalize mpk utunukiwe bachelor ?? Why uishie higher diploma ??
bila ya kuwa na advance diploma au bachelor degree huwez kusoma Postgraduate
hivi faida hasa ya postgraduate ni nini?