mkuu mwaka wa bachelor ambao ni wa mwisho nina mpango wa kutokuusoma. Hivyo basi naishia higher diploma, kwa mujibu wa score za nacte. Hapo ndipo najiuliza kama itawzekana?