Kwa wenye uhitaji wa ushauri kuhusu ubora wa maji,je una kisima kinatoa maji machafu?,harufu?

ISSAHMTONO

Member
Joined
Mar 3, 2015
Posts
72
Reaction score
14
Kama unaswali lolote kuhusu water quality niwakati wako wakuuliza chochote,na wenye viwanda vya maji,kama inahitaji "water quality technicians wenye experience tuwasiliane,wapo wanaofanya kazi km kampuni Aqua cool lmt (kisima water),maji Afya n.k
 
Kuna kisima hapa kwetu kinatoa maji mekundu, wekundu huu unatuama chini kama mavumbi. Cha kushangaza yana harufu flan ya chuma na ukiyaweka kwenye ndoo yakikaa kwa muda yanaweka layer kama ya mafuta kwa juu. Sasa hiki kitu kama mafuta ni nini na ni hivyo siku zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…