Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
Habari wana jf, naombeni msaada wenu katika hili...
Nilikuwa naomba kuuliza ni zipi dalili za awali za mtu alie pata mimba??
Lakin pia ningependa kujuzwa maumivu ya tumbo one day after having sex inaweza kuwa ni dalil yakuwa mtu umepata ujauzito?? Je mimba inachukua muda gan kujishkiza kwenye ukuta wake mara baada ya wanandoa/wapenzi kukutana kimwili??
Naomba kuwasilisha.
Mkuu hebu pekua vzr ktk jukwaa kuna thread moja haya unayouliza yamejibiwa vizuri na@Mzizimkavu. Pamoja na wataalam wengine!
Mtally Mtally.....umefanza nini sasa......? utakomajeeeeee.......
anyway....kila mtu ana dalili zake.......wengine hawana dalili kabisaaaaa.....anashangaa mimba ndiiiii......hii hapa......
mimba unaweza kugundua baada ya wiki 3 na kuendelea nadhani.......sijui sana......
lakini cha muhimu.....subiri kama period ikidon't.....seek medical advice.......sawa eeeh.......