kwa wenye uzoefu na Money marker pump!

kwa wenye uzoefu na Money marker pump!

rozay

Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
48
Reaction score
9
Nimejaribu kusoma post mbali mbali zinazoelezea kilimo cha umwagiliaji pamoja na gharama zake!vitu kama green house,drip irrigation systems n.k!kwa wajasiliamali wadogo wadogo wanaotaka kuanza kilimo cha mboga mboga na matunda nadhani swala la gharama ni moja kati ya changamoto tunazokutana nazo!ila nimekutana na hizi money maker
pumps!nimevutiwa nazo kwasababu ya gharama zao pamoja na gharama ya kuendesha hizi pums!na nimeona wana aina mbili za pump

1)Money maker Max
hii inauz wa Tsh 176500

2)Money maker Hip,hii ni Tsh. 150500.
www.kickstart.org/products/
Zote
unapewa na mpira wa kuvutia
maji mita 7 na wa kupeleka maji
shambani mita 200, spea zake na
garantii ya mwaka mmoja!
(haya maelezo ya bei na n.k nimepata kutoka kwao)

mwisho naomba kwa wale waliowahi kutumia/wenye uzoefu na hizi pumps tujaribu kubadilishana mawazo hapa jamvini!
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom