Kwa wenye uzoefu na Toyota Belta 1290cc naomba ushauri

Belta ni gari nzuri hasa kwa Miradi ambayo iko mjini maana inatumia mafuta kidogo na kuna barabara nzuri,tatizo lake ina dashboard ya katikati halafu kikiwa spidi kubwa hakina utulivu barabarani.,LAKINI kama miradi yako iko vijijin kama mimi basi chukua,TERRIOUS KID,AU PROBOX/SUCCEED,zote zina chin ya cc1500 zinavulia sana shida.,zina enda masafa marefu bila shida,.kwa DAR- MBEYA naenda na kurudi kila baada ya wiki mbili kwa kutumia probox bila shida yoyote.
 
Asante sana kwa ushauri kiongozi, nakubaliana na wewe probox ni gari nzuri pia na walau ipo juu kiasi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…