pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
Habari ndugu zangu ninaomba msaada jaman sijawahi kufanya usaili utumishi kwa wale wazoefu je mtihan wa kuandika huwa una base kwenye maswala gan au ni general questions? Pili mtihani wa mahojiano unaruhusiwa kuchagua lugha? Naomba mnipe posbo questions nisaidieni ndugu i truly need this job sijawahi kufanya usaili nimgeni katika hili but i believe i can make it