Kwa wenye uzoefu na usaili wa utumishi msaada plz

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
880
Habari ndugu zangu ninaomba msaada jaman sijawahi kufanya usaili utumishi kwa wale wazoefu je mtihan wa kuandika huwa una base kwenye maswala gan au ni general questions? Pili mtihani wa mahojiano unaruhusiwa kuchagua lugha? Naomba mnipe posbo questions nisaidieni ndugu i truly need this job sijawahi kufanya usaili nimgeni katika hili but i believe i can make it
 
Lazima ujue vision, mission na objectives za kampuni, yo duties and responsibilities as advertised in the media, general knowledge....soma pia maswali ya professional yako, sijawahi kufanya lakini hawawezi kwenda mbali na hapa..........EXAMINATION Z NTHN BT CONFIDENCE
 
Asante sana mkuu kwa kunipa japo mwanga sasa tangazo limetolewa na sekretariet ya ajira mwajir tawala za mikoa je nitasoma vision ipi kat ya hiz?
 
husiangaike na mission na vision,komaa na ishu za proffessional yako,hawa jamaa wanaangalia competence only hawanaga porojo
 
Written n oral zote ni mwendo wa professional yako so komaa ka unapga pepa za bodi(cpa)
 
hawajamaa nimefanya nao interview 3,mbili maswali yalikuwa ya proffessional.lakini hio moja ilikuwa post ya system admin tuliambiwa tuandike wimbo wa taifa,bendera ya tz inarangi ngapi za zina indicate nini?,nchi ya mwisho afrika kupata uhuru etc.waliniboa sana
 
Kwanza maswali yatakuwa 5. Kama umeomba kazi ngazi ya Afisa (Degree holder) lugha ya Malikia itatumika. Kuhusu oral interview you must tell us your historical background;then Why have you applied for the said job, sometimes what criteria do you have so that you can suit for this job; ethics in civil service. Baada ya hapo utamiminiwa maswali ya proffesion yako. Lakini kumbuka kupitia website ya Wizara au Kampuni unayoomba kazi na kufahamu majukumu yake na majukumu ya cheo unachoomba. Unaweza pia kutafuta changamoto zinazowakabili maana unaweza ulizwa swali jinsi ya kuzitatua. Kuhusu written interview komaa na profession yako tu.
 

Mkuu kalanga sasa kuhusu wimbo wa Taifa na bendera ya Taifa, rangi zake na maana yake mbona walikuwa wameonea huruma ili mfaulu interview kuna aliyefeli kweli ?
 
Last edited by a moderator:
Mungu akuzidishie mkuu umenipa mwanga sana vp kwenye swala ka what creteria do i have naweza kuelezea experience yangu? Na hapo kwenye ethics n civic service sijaelewa nisaidie
 
kwa hiyo post sina uzoefu nayo!mm nilifikiri presidential post kama yangu ninayofanya USA sasa hivi!
yes we can!
acheni kuwakatisha tamaaa watu nyie mmebewa na huu mfumo wa kifisadi mnakula neema mtoni mnatudharau watu cyo?MDARAU MIMBA MUGUU HUOTA TENDE
 
acheni kuwakatisha tamaaa watu nyie mmebewa na huu mfumo wa kifisadi mnakula neema mtoni mnatudharau watu cyo?MDARAU MIMBA MUGUU HUOTA TENDE
ndugu yangu mm nilitaka watu wafurahiiiii tu!sasa wewe mpaka una nilaani mguu uote tende!alafu mm sijabebwa na mfumo wa kifisadi futa kauli yako! wala sina dharau
 
Mungu akuzidishie mkuu umenipa mwanga sana vp kwenye swala ka what creteria do i have naweza kuelezea experience yangu? Na hapo kwenye ethics n civic service sijaelewa nisaidie

Criteria: Elezea kuhusu strength yako, una kitu/tabia/uzoefu gani wa zaida ambao unaweza kuwa na msaada kwa taasisi unayoomba kazi ? Ethics in civil service/maadili katika utumishi wa Umma......Kutoa huduma bora, Utii kwa Serikali, Bidii ya kazi, Huduma bila upendeleo, Bidii ya kazi, kuwajibika kwa Umma, kuheshimu sheria, matumizi sahihi ya taarifa. Kumbuka kama interview itakuwa katika lugha ya Malkia itakubidi uyaelewe katika lugha hiyo. Nakutakia interview njema. Siku hiyo vaa kama mtumishi wa Umma anayejiheshimu kulingana na jinsia yako. Avoid overdressing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…