Kwa wenye uzoefu na usaili wa utumishi msaada plz

Asante sana ndugu mungu akuzidishie umekuwa msaada kwangu ushauri wako umenipa mwanga sana may our living God be with u alwayz thanx nakuomba uniombe nifanikiwe
 
Asante sana ndugu mungu akuzidishie umekuwa msaada kwangu ushauri wako umenipa mwanga sana may our living God be with u alwayz thanx nakuomba uniombe nifanikiwe

Asante kushukuru. Sifa apewe Mungu aliyenipa uhai hadi ninapowasiliana na wewe.
 
Asante mkuu
Aisee pettymarcel,
Ushaenda kwenye hiyo interview?! Kama hujaenda, basi usiende kabla hujafahamu yafuatayo:
1. Nini maana ya maadili ya Umma?
2. Taja aina ya maadili ya Umma
3. Nini maana ya MKUKUTA?
4. Nini mafanikio ya MKUKUTA?
5. Nini malengo ya MKUKUTA
6. What's MKURABITA?
7. Ni zipi kazi za Afisa Tarafa?
8...........
9.............Ongezeni wadau.....!
8.
 
Mungu akuzidishie mkuu kama unakumbuka mambo mengine plz nipeni jaman bado sijafanya usaili mungu akuzidishie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…